Kanuni iliyomtupa nje ya ulingo Slaa itamfikia na Lowassa

Ni uchambuzi nzuri..kwenye tafiti zakutosha..unaweza kuitumia kama theory ktk taaruma ya sayansi ya siasa
Nakubaliana na we we kabisa
 
Mada yako nzuri lkn kuna watu umewapa sifa wasizo stahili~ Pius Msekwa John Malechela hawa wamejiweka pembeni baada ya fedheha.

Lkn pia hujaeleza ni kwann kuna wanasiasa ambao nyota zao hazifii mwanzo mwisho? Mifano ni rais Buhari Wa Nigeria na rais Mpya Wa Ghana, hawa wamejaribu mara nyingi kugombea nafasi hz kwa upepo wa kupendwa kama mrema wa 95 wakawa wanaangukia pua. Lkn hawakukata tamaa, leo hii ni marais.
 
amejitahidi ,but hakuna kuntu hapo, hajaongelea vitu Vya msingi kama je kwann wakina mrema umaarufu wao /mvuto wao kwa ujumla ulizimika ghafla, na je umaarufu/mvuto WA huyu Lowassa je mazingira still yale yale au ni tofauti, mf. Muungano wa vyama unaojiita UKAWA je unaathari gani katika Kuzima kwa mtu huyu, na je KWA nn serikali inamshambulia saaaanaaaa lowassa na upinzani KWA ujumla kua lowassa asipewe nafasi ya kugombea2020???why!??? Na KWA nn hivi karibuni kinana huko Zanzibar ameelekeza mashambulizi yake KWA huyu bwana maalim seif badala ya kujikita kwenye mada zake na chama chake???? Je si siasa hizo ambazo zinahubiriwa kila kukicha na mtawala mkuu zisiwepo????? JE KWA NN ANAWASHAURI ETI CUF ZANZIBAR KUMTEUA MTU MWINGINE KUGOMBEA NAFASI YA URAIS KWA TIKET YAO (CUF) na kujitia kua eti anawashangaa????? Ukijiuliza Maalim amekuwepo katika duru za siasa miaka mingapi na je amefifia kisiasa au anazidi kung'ara???? Jibu ni anazidi kung'ara katika duru za siasa unlike akina mrema, Why sasa huyu hajafifia kisiasa ilhali amekuepo kwa muda mrefu katika duru hizi??? Jibu ni mshikamano wa pamoja usiotetereka unamfanya mtu kufifia ama kung'ara katika duru za siasa, na ndii maana wao chama tawala unashambulia sana upinzani kuwaondoa key figure wao, na tunarudi KWA Habari ya lowassa, kufifia kwake katika duru za siasa waswahili tunaita fifty fifty, ikiwa umoja huu wa vyama hivi pinzani kwa sasa(nasema pinzani kwa sasa kwa kua vyaweza kunyakua dola vikawa tawala na vice versa is true), vikiendelea kuushikilia msimamo wao na umoja wao utaendelea kua tishio kwa chama tawala na serikali iliyopo madarakani, na vikimkumbatia lowassa basi pasi na shaka atang'ara maradufu ila vikimuachia vitakae mkumbatia atang'ara tu, na vikiparaganyika basi nguvu ya upinzani itaishia hapo, ...mf hivi karibuni katika majarida kadhaa imekua ikichapishwa Kua kambi ya lipumba haitaki ukawa, hahah hizi ni juhudi za maksudi kabisa kuhafifisha huu umoja na cuf kwa ujumla ambao bado ni tishio kwa watawala WA sasa,.

Nimalizie tu, daima Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu,
[HASHTAG]#Mimi[/HASHTAG] si mwanachama wa chama chochote na wala sifungamani na upande wowote, Mimi ni mchambuzi huru wa kujitegemea, ASANTENI.
Soma tena hoja za mleta mada. Kuna point muhimu sana ameizungumzia. Tena amezungumza kiweledi kwa kutumia mifano ya watu na zama mbalimbali. Lakini wewe hukuja na maelezo ya msingi bali mashambulizi. Yaani maelezo yako yanaangukia mlemle kwenye hoja za mleta mada (bado una mahaba na watu hawa/Upepo wasiasa bado umekuelekeza kwao).
 
Mtoa mada umetajataja majina mpaka umeongeza chumvi. Niambie ni lini na wapi ndugu Malecela alistaafu siasa kwa heshima??

Au aliburuzwa na upepo wa Kibajaji?
Akakubali matokeo bila kuanza figisu za kukata rufaa ama kuhama chama. Kwenye siasa hiyo nayo ni kustaafu. Ilimtokea Pius Msekwa kwenye uspika, ikamtokea Samuel sita kwenye uspika pia.
 
Bila ushabiki wala nini ukweli wa kisayansi ni kwamba maji yanapochemka ni lazima mambo 2 yatokee.kukauka/kupungua ujazo wake au kupoa.
 
Akakubali matokeo bila kuanza figisu za kukata rufaa ama kuhama chama. Kwenye siasa hiyo nayo ni kustaafu. Ilimtokea Pius Msekwa kwenye uspika, ikamtokea Samuel sita kwenye uspika pia.

Nilitaka kukuuliza pia kuhusu Msekwa. Hawakustaafu. Walilazimishwa

Mtoa mada atoe neno kustaafu kwa heshima au kama hajui nini alikifanya Baba Lemutuz baada ya ''KUSHINDWA''
 
amejitahidi ,but hakuna kuntu hapo, hajaongelea vitu Vya msingi kama je kwann wakina mrema umaarufu wao /mvuto wao kwa ujumla ulizimika ghafla, na je umaarufu/mvuto WA huyu Lowassa je mazingira still yale yale au ni tofauti, mf. Muungano wa vyama unaojiita UKAWA je unaathari gani katika Kuzima kwa mtu huyu, na je KWA nn serikali inamshambulia saaaanaaaa lowassa na upinzani KWA ujumla kua lowassa asipewe nafasi ya kugombea2020???why!??? Na KWA nn hivi karibuni kinana huko Zanzibar ameelekeza mashambulizi yake KWA huyu bwana maalim seif badala ya kujikita kwenye mada zake na chama chake???? Je si siasa hizo ambazo zinahubiriwa kila kukicha na mtawala mkuu zisiwepo????? JE KWA NN ANAWASHAURI ETI CUF ZANZIBAR KUMTEUA MTU MWINGINE KUGOMBEA NAFASI YA URAIS KWA TIKET YAO (CUF) na kujitia kua eti anawashangaa????? Ukijiuliza Maalim amekuwepo katika duru za siasa miaka mingapi na je amefifia kisiasa au anazidi kung'ara???? Jibu ni anazidi kung'ara katika duru za siasa unlike akina mrema, Why sasa huyu hajafifia kisiasa ilhali amekuepo kwa muda mrefu katika duru hizi??? Jibu ni mshikamano wa pamoja usiotetereka unamfanya mtu kufifia ama kung'ara katika duru za siasa, na ndii maana wao chama tawala unashambulia sana upinzani kuwaondoa key figure wao, na tunarudi KWA Habari ya lowassa, kufifia kwake katika duru za siasa waswahili tunaita fifty fifty, ikiwa umoja huu wa vyama hivi pinzani kwa sasa(nasema pinzani kwa sasa kwa kua vyaweza kunyakua dola vikawa tawala na vice versa is true), vikiendelea kuushikilia msimamo wao na umoja wao utaendelea kua tishio kwa chama tawala na serikali iliyopo madarakani, na vikimkumbatia lowassa basi pasi na shaka atang'ara maradufu ila vikimuachia vitakae mkumbatia atang'ara tu, na vikiparaganyika basi nguvu ya upinzani itaishia hapo, ...mf hivi karibuni katika majarida kadhaa imekua ikichapishwa Kua kambi ya lipumba haitaki ukawa, hahah hizi ni juhudi za maksudi kabisa kuhafifisha huu umoja na cuf kwa ujumla ambao bado ni tishio kwa watawala WA sasa,.

Nimalizie tu, daima Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu,
[HASHTAG]#Mimi[/HASHTAG] si mwanachama wa chama chochote na wala sifungamani na upande wowote, Mimi ni mchambuzi huru wa kujitegemea, ASANTENI.
Mapenzi yako kwa mgombea wako wa mwaka jana yanakuendesha mkuu. Mleta maada yuko sahihi. Kama Gadafi aliwafanya watu wake wasilipe kodi wala maji wala umeme na wakamgeuka na kumuua sembuse na mtu wako aliekwiba mahela yetu na kujineemesha mwenyewe peke yake na wanae? Yana mwisho.
 
amejitahidi ,but hakuna kuntu hapo, hajaongelea vitu Vya msingi kama je kwann wakina mrema umaarufu wao /mvuto wao kwa ujumla ulizimika ghafla, na je umaarufu/mvuto WA huyu Lowassa je mazingira still yale yale au ni tofauti, mf. Muungano wa vyama unaojiita UKAWA je unaathari gani katika Kuzima kwa mtu huyu, na je KWA nn serikali inamshambulia saaaanaaaa lowassa na upinzani KWA ujumla kua lowassa asipewe nafasi ya kugombea2020???why!??? Na KWA nn hivi karibuni kinana huko Zanzibar ameelekeza mashambulizi yake KWA huyu bwana maalim seif badala ya kujikita kwenye mada zake na chama chake???? Je si siasa hizo ambazo zinahubiriwa kila kukicha na mtawala mkuu zisiwepo????? JE KWA NN ANAWASHAURI ETI CUF ZANZIBAR KUMTEUA MTU MWINGINE KUGOMBEA NAFASI YA URAIS KWA TIKET YAO (CUF) na kujitia kua eti anawashangaa????? Ukijiuliza Maalim amekuwepo katika duru za siasa miaka mingapi na je amefifia kisiasa au anazidi kung'ara???? Jibu ni anazidi kung'ara katika duru za siasa unlike akina mrema, Why sasa huyu hajafifia kisiasa ilhali amekuepo kwa muda mrefu katika duru hizi??? Jibu ni mshikamano wa pamoja usiotetereka unamfanya mtu kufifia ama kung'ara katika duru za siasa, na ndii maana wao chama tawala unashambulia sana upinzani kuwaondoa key figure wao, na tunarudi KWA Habari ya lowassa, kufifia kwake katika duru za siasa waswahili tunaita fifty fifty, ikiwa umoja huu wa vyama hivi pinzani kwa sasa(nasema pinzani kwa sasa kwa kua vyaweza kunyakua dola vikawa tawala na vice versa is true), vikiendelea kuushikilia msimamo wao na umoja wao utaendelea kua tishio kwa chama tawala na serikali iliyopo madarakani, na vikimkumbatia lowassa basi pasi na shaka atang'ara maradufu ila vikimuachia vitakae mkumbatia atang'ara tu, na vikiparaganyika basi nguvu ya upinzani itaishia hapo, ...mf hivi karibuni katika majarida kadhaa imekua ikichapishwa Kua kambi ya lipumba haitaki ukawa, hahah hizi ni juhudi za maksudi kabisa kuhafifisha huu umoja na cuf kwa ujumla ambao bado ni tishio kwa watawala WA sasa,.

Nimalizie tu, daima Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu,
[HASHTAG]#Mimi[/HASHTAG] si mwanachama wa chama chochote na wala sifungamani na upande wowote, Mimi ni mchambuzi huru wa kujitegemea, ASANTENI.

kwanza kabla ya yote jifunze kuandika kwa aya sio kama ulivyofinyanga kama makande ya choroko na mchele, unakimbialia wapi tulia, pili hoja yako kuu haina mashiko, kila mtu anapoandika kuhusu jambo fulani huchagua 'angle' ya kujenga hoja zake, huwezi kuandika kila kitu hata kile unachowaza wewe kwenye fikra zako sasa, biblia kitabu kitakatifu kama kingeandika kila kitu hakuna angeweza kukibeba.
 
amejitahidi ,but hakuna kuntu hapo, hajaongelea vitu Vya msingi kama je kwann wakina mrema umaarufu wao /mvuto wao kwa ujumla ulizimika ghafla, na je umaarufu/mvuto WA huyu Lowassa je mazingira still yale yale au ni tofauti, mf. Muungano wa vyama unaojiita UKAWA je unaathari gani katika Kuzima kwa mtu huyu, na je KWA nn serikali inamshambulia saaaanaaaa lowassa na upinzani KWA ujumla kua lowassa asipewe nafasi ya kugombea2020???why!??? Na KWA nn hivi karibuni kinana huko Zanzibar ameelekeza mashambulizi yake KWA huyu bwana maalim seif badala ya kujikita kwenye mada zake na chama chake???? Je si siasa hizo ambazo zinahubiriwa kila kukicha na mtawala mkuu zisiwepo????? JE KWA NN ANAWASHAURI ETI CUF ZANZIBAR KUMTEUA MTU MWINGINE KUGOMBEA NAFASI YA URAIS KWA TIKET YAO (CUF) na kujitia kua eti anawashangaa????? Ukijiuliza Maalim amekuwepo katika duru za siasa miaka mingapi na je amefifia kisiasa au anazidi kung'ara???? Jibu ni anazidi kung'ara katika duru za siasa unlike akina mrema, Why sasa huyu hajafifia kisiasa ilhali amekuepo kwa muda mrefu katika duru hizi??? Jibu ni mshikamano wa pamoja usiotetereka unamfanya mtu kufifia ama kung'ara katika duru za siasa, na ndii maana wao chama tawala unashambulia sana upinzani kuwaondoa key figure wao, na tunarudi KWA Habari ya lowassa, kufifia kwake katika duru za siasa waswahili tunaita fifty fifty, ikiwa umoja huu wa vyama hivi pinzani kwa sasa(nasema pinzani kwa sasa kwa kua vyaweza kunyakua dola vikawa tawala na vice versa is true), vikiendelea kuushikilia msimamo wao na umoja wao utaendelea kua tishio kwa chama tawala na serikali iliyopo madarakani, na vikimkumbatia lowassa basi pasi na shaka atang'ara maradufu ila vikimuachia vitakae mkumbatia atang'ara tu, na vikiparaganyika basi nguvu ya upinzani itaishia hapo, ...mf hivi karibuni katika majarida kadhaa imekua ikichapishwa Kua kambi ya lipumba haitaki ukawa, hahah hizi ni juhudi za maksudi kabisa kuhafifisha huu umoja na cuf kwa ujumla ambao bado ni tishio kwa watawala WA sasa,.

Nimalizie tu, daima Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu,
[HASHTAG]#Mimi[/HASHTAG] si mwanachama wa chama chochote na wala sifungamani na upande wowote, Mimi ni mchambuzi huru wa kujitegemea, ASANTENI.
Hoja yako n dhaifu sana dhidi ya ile ya mtoa mada bora ungetulia tu
 
Mkuu kunasehemu kama hujadanganya basi utakuwa hujui. Hivi unajua Malecela ilikuwaje hadi akaacha siasa? Vip Jaji Warioba? Kwa maelezo yako nakubalina na wewe ni mfuatiliaji mzuri wa siasa zetu ila hapa kwa Malecela na Warioba umetuingiza chaka!!
 
Back
Top Bottom