mgogoone
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 2,900
- 2,097
Kwemanga2 umeeleza vizuri tu kuhusu uhuru wa mahakama.Huu ni ugomvi wa wamiliki wa ardhi na Kangi au ni familia dhidi ya kangi? Mahakama ina taratibu zake inapobainika kuwa umeidharau, kama anatoa vitisho hayo ndio mambo ya kuiambia mahakama ili haki itendeke, subiri tarehe 4:05:2016, kuongea kesi iliyopo mahakamani hapa wewe ndio utaonekana unaingilia Uhuru wa mahakama
Mlete mada vile vile anayo haki ya kumuongelea mbunge wake.
Huyo mbunge kutokana Na Mtoa mada ni tapeli Na anatumia ubunge wake kuwatetemesha wananchi.
Mtoa mada ameweza kutuelimisha Watu wengi wa hapa JF kuhusu huyo
TAPELI Na Uheshimiwa uvuliwe.
Mtoa mada endelea Na uzalendo wako wa kuongea yaliyo ya kweli
Msema kweli ni mpenzi wa MUNGU