Wadau heshima kwenu?
Niliwahi kusafirisha parcels to Stavropol,Russia miaka kadhaa nyuma,ila kampuni hizo zimekataa kusafirisha mzigo wangu kwa sasa kwa madai kuwa sheria ya Russia inakataza kuingiza food stuffs (bidhaa za vyakula) japokuwa hata miaka hiyo baadhi ya kampuni zilikataa,lakini nilifanikiwa kufikisha parcels zangu(nimemuuliza rafiki yangu raia na anayeishi huko anasema hakuna sheria mpya ya katazo)
Sasa naomba kujua je kuna kampuni ipi inayoweza kunisafirishia mzigo wangu wa 20KG wa roasted coffee beans kwenda Stavropol,Russia.
Itapendeza pia ikiwa nitapata cost yake.
Nitashukuru kwa michango yenu wadau.
Mawasiliano hapa jukwaani au PM.