TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 7,281
- 14,091
Hawa wazungu wamekuwa wakikamata paka mitaani na majumbani kisha kuwang'oa uzazi.
Baada ya miaka michache tu nchi ya Zanzibar itakuwa haina paka hata mmoja.
Paka wana faida nyingi sana kwa jamii na kimazingira pia.
Hizi kampeni zinazoendelea, serikali izitupie macho.
Wanyama wana haki ya kuishi, kuzaliana na kufurahia maisha