Mi mwenyewe siungi mkonokunawatu watakuja kupinga hii ndio Tanzania tunayoitaka kama huridhiki hama nchi
Mtuhumiwa namba moja ni Makonda akapimwe rinda.kunawatu watakuja kupinga hii ndio Tanzania tunayoitaka kama huridhiki hama nchi
Safari hii hii vita iwahusu na Wanaowabokoa, Baada ya kuwakamata Mashoga zoezi linalofuata Liwe kuwatambua Wanaowafukua tope!
Kwny orodha hiyo pia tunategemea walawiti na walawitiwa Papa!
Mtuhumiwa namba moja ni Makonda akapimwe rinda.
hahaaa tz mwenye uwezo wa kufunga mashoga nan?Ngj wakutie mkononi tukupeleke segerea
Ova
Kamandaaa hili hapa jingine kamanda Sirro.mhhhh haki ziheshimiwe
Sirro anatafuta balaa akiwaweka ndani watu hawa central nzima itanuka mavi hawa watu hawana marinda.Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro amesema tayari wameshafungua jalada kwaajili ya kuwasaka mashoga vinara jijini Dar.
Hatua hiyo imekuja baada ya Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Hamis Kigwangallah kuagiza mashoga maarufu, James Delicious, Kaoge Mvuto na Dani Mtoto wa Mama ‘wafike wenyewe Central Police Dar es Salaam kwa mahojiano kabla hawajatafutwa.’
“Sisi tumefungua jalada tumewatafuta, lakini mpaka sasa ninapozungumza sijapata taarifa ya mtu kukamatwa. Wengine wamejitangaza kwenye mitandao, wengine wanajiita Precious sijui, ni hatari sana. kwa sababu wameshajitangaza na ukiangalia kwenye Instagram wanaonekana, wawe wasamaria wema tu waje maana yake hawana ujanja,” alisema Kamanda Sirro wakati akiongea na waandishi wa habari.