Kamanda Mpinga lini utamwajibisha Rais Magufuli?

Mada za kitoto sana....hebu jitafakari kidogo ...unajidhalilisha next time jitahidi uwe productive
 
hahahaha imenibidi nicheke tuu baada ya kusoma comments za watu hahaha eti spidi 45
cc Nifah
 
Chuki binafsi na uropokaji kunawatesa sana, hadi hapo mafunzo ya mama wazazi juu ya kuheshimu watu wengine yatakapozingatiwa.
Maana kwako hakuna cha mkubwa, mdogo ama mheshimiwa, ni kuropokewa tu.
Linapokuja suala la "arrest tukufu" mahsusi kwa ajili yako, utakimbia ama kusaka huruma ya mawakili, wakati huo ukikojolea zululu. Mawakili wamekuwa siyo msaada wa moja kwa moja kwa vidomodomo watukanaji.
Ukiitegemea fake id utakuwa unaidanganya nafsi yako.
Tuheshimu wenye mamlaka ama wakubwa zetu ktk jamii ama ktk familia.
Zingatia usemi usemao " asiyefunzwa na mamaye...." Unamaana kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…