Kamanda Mpinga lini utamwajibisha Rais Magufuli?

hahahaha imenibidi nicheke tuu baada ya kusoma comments za watu hahaha eti spidi 45
cc Nifah
 

Leo tuliofanikiwa kuwepo gerezani tumeshangazwa sana na moyo kushtuka paah baada ya kumuona mh rais Magufuli akiendesha gari la mwendokasi.
Mara ya kwanza tulidhani anaingia ndani kupiga picha lkn ghafla tukamuona amekaa kiti cha dereva na kuanza kuendesha.
Kamanda wa usalama barabarani tunaomba unieleweshe haya yafuatayo na ikiwezekana kuchukua sheria mara moja (maana alisema hata Gari LA rais likivunja sheria linaruhusiwa kukamatwa)
  • Ni lini rais amekata leseni daraja C inayompa uwezo wa kuendesha magari ya abiria?
  • Kwanini alitembea na spidi inayokadiriwa kufika 45 mpaka 51km/h kwenye sehemu yenye msongamano mkubwa wa watu kama pale kituoni?
  • Ni kwanini aliyafanya yote haya mbele ya askari wengi wa usalama barabarani na hamna hata mmoja aliyechukua hatua.
Kamanda wa usalama barabarani naomba utilie maanani suala hili mara moja ili kulinda uhai wa Watanzania na mali zetu

H.Mchange

Chuki binafsi na uropokaji kunawatesa sana, hadi hapo mafunzo ya mama wazazi juu ya kuheshimu watu wengine yatakapozingatiwa.
Maana kwako hakuna cha mkubwa, mdogo ama mheshimiwa, ni kuropokewa tu.
Linapokuja suala la "arrest tukufu" mahsusi kwa ajili yako, utakimbia ama kusaka huruma ya mawakili, wakati huo ukikojolea zululu. Mawakili wamekuwa siyo msaada wa moja kwa moja kwa vidomodomo watukanaji.
Ukiitegemea fake id utakuwa unaidanganya nafsi yako.
Tuheshimu wenye mamlaka ama wakubwa zetu ktk jamii ama ktk familia.
Zingatia usemi usemao " asiyefunzwa na mamaye...." Unamaana kubwa.
 
Back
Top Bottom