Mkuu bravoo!! Sisi huwa tunapigwa tiketi hata kwa kula bigG wakati tunaendesha,angalao umetuonyesha njia.Baada ya mtu aliyepigwa faini kulalamikia kitendo hicho kwakuwa alionewa na askari wa usalama barabarani. Kamanda Mpinga amemuamuru askari husika ndie ailipe faini hiyo
Baada ya mtu aliyepigwa faini kulalamikia kitendo hicho kwakuwa alionewa na askari wa usalama barabarani. Kamanda Mpinga amemuamuru askari husika ndie ailipe faini hiyo.
Kwa hali yenyewe hii ni elfu 30 unatoa wapi?Ndio ajue sasa kuwa hayo mabilion wanayokusanya ni wizi na uonevu kwa sisi raia...wanabambika sana...yalitaka kunikuta kubambikwa kosa nilimvyomshushua mwenyewe aliona aibu ...mpk akaomba mpk lift...
Trafic jirekebishen....
Hapo sasa....yn wanaboaaa...Kwa hali yenyewe hii ni elfu 30 unatoa wapi?
MikateHapo sasa....yn wanaboaaa...
Kuna magari mabovu yanatembea njian mpk unajiuliza hivi trafic hajaliona...gari inatembea imelala upande haileweki inadondoka au la....zingine screpa tupu lkn hawazion sijui
Kamanda huyu uwa namuamini sana maana yupo smart sana, kiukweli huwa tukilalamika kama anajifanya hasikii kumbe uwa anazama kuangalia tatizo kama kuna uonevu, kwa ili naona katenda haki kabisa wacha nae huyo Askali wa barabarani aone hiyo 30,000/= huwa ni ndogo au kubwa ukiwa unaitoaBaada ya mtu aliyepigwa faini kulalamikia kitendo hicho kwakuwa alionewa na askari wa usalama barabarani. Kamanda Mpinga amemuamuru askari husika ndie ailipe faini hiyo.
Mwambie kamanda wakati mwingine arekebeshe mwandiko mkuu, sikutegemea mtu kama yeye aandike ss badala ya sasa ama condtition badala ya condition, ujue wakati mwingine habari kama hii inaweza kumpa ukakasi msomaji na kudhani huenda labda alieandika sio yeye labda ni muhuni fulani tu kumbe mheshimiwa, OVAAAAAA.Baada ya mtu aliyepigwa faini kulalamikia kitendo hicho kwakuwa alionewa na askari wa usalama barabarani. Kamanda Mpinga amemuamuru askari husika ndie ailipe faini hiyo.
Arekebeshe!!!!Mwambie kamanda wakati mwingine arekebeshe mwandiko mkuu, sikutegemea mtu kama yeye aandike ss badala ya sasa ama condtition badala ya condition, ujue wakati mwingine habari kama hii inaweza kumpa ukakasi msomaji na kudhani huenda labda alieandika sio yeye labda ni muhuni fulani tu kumbe mheshimiwa, OVAAAAAA.
Halafu hapo kweyye "condition of the motor vehicle" ndipo wanapenda kweli kushushia kila fine.....kuna jamaa juzi alikua hajaiosha HILUX yake akapigwa 30,000 ati "condition of the motor vehicle"