Kama una NGO ya mambo ya kijamii Njoo PM

wazifute tuu hakuna namna inachosha mtu unashinda mara wizarani mara uhakiki mara usajili mara benki etc inachosha mweeee. Halafu kilichonikera siku moja nililipia gharama ya mwaka ya usajili bahati mbaya hatukuipeleka benki slip mambo ya ndani hapa mkoani kurekodiwa na mbaya zaidi ikawa misplaced. nikaipata baada ya miezi mitatu kuipeleka kwa mhasibu akagoma kuirekodi ati niende makao makuu Dar! wakati benki slip inaonyesha kabisa nimelipa kwenye akaunti mambo ya ndani anasema niende makao makuu ndiko ikawe recorded. sasa nitoke kigoma mpaka Dar kwa ajili ya risiti. waifute tuu!
 
wewe vipi mbona unaandika vitu visvyo na uhusiano na uzi uliopo hapo juu?
 

mkuu wamekuvuluga kweli kweli,..dah pole sana
 
1. Kuna haja ya kuwa na sticky thread yenye 2. NGO's za shughuli zake humu JF.
2. Moderators naomba mfanyie kazi.
3. Hizi taasisi in muhimu ni muhimu hasa zama hizi za Mkemia.
4. Hili suala si la kufanyia rejareja.
 
Kama unamiliki NGO yenye mlengo was kuisaidia jamii na mambo mengine ya kijamii na pia imesajiliwa NJOO PM Haraka
Ndugu ungetoa maelezo kidogo tukaelewa tambua kuwa NGOs zipo nyingi zinatoa huduma tofauti, zingine Zina usajili wa mkoa na wilaya. MI nafanya kazi NGOs nashindwa kuja PM sijuih una lenga kitu gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…