Kama umeamua kunywea kilevi nyumbani hizi nyimbo ni muhimu kuzipiga

Kumbe pombe hunyosha kizungu eeh
 
Hizo za kizungu labda kama una fanya mapenzi au hupo home una feeling au unawaza siasa kama we ni mnywaji lazima upige ngoma za Kongo plus na chalanga bar zote town bila kupigarhumba hawezi kuuza na mnywaji achagui pombe
 
Hizo za kizungu labda kama una fanya mapenzi au hupo home una feeling au unawaza siasa kama we ni mnywaji lazima upige ngoma za Kongo plus na chalanga bar zote town bila kupigarhumba hawezi kuuza na mnywaji achagui pombe

Hiphop oldies za kina Pac, Diddy, Snoop, na wengineo mkuu, new schools unawasikiliza kina Gucci Mane, Migos, J Cole, Kendrick Lamar, Wiz Khalifa, DJ Khelid, J Cole nk

Hizo siyo za mapenzi, ni za kimaisha tu na kupeana mzuka wa kutumia na kutafuta nyingi zaidi.
 
O Za kitambo nasikiliza sana asa ambazo ni pop au r&b ambazo ndani kuna hip hop mfano no diggity ya blackstreet ndani kuna Dr dre ni kwa ajili ya feeling nikitaka kunywa na kufurahi basi nasikiliza za Kongo tu
 
Kwanza mi bnafsi skuhiz hata baa au sehem zile kubwa kubwa huwa sipend kwenda,mi napendaga vile vi glosary vya mtaan,utakuta tumeza tuwil tuu hapo,mdada anauza anakuwekea chochote unataka na ukitaka hata mdudu unamtuma..huku kwetu mbez ndo mwendo wetu huu,ni samak samak no club
Kabisa kabisa..kwanza pombe ni starehe complete,kuwe na nyimbo kusiwe nazo pombe ina cover kila kitu...pombe ndio mziki,ndio chakula,ndio maji ndio kila kitu
 
Na hvyo vi grocery na vi pub vidogo vidogo ndio vinauza siku hizi..ma bar makubwa tunaenda mara moja moja sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…