Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,956
- 8,115
- Thread starter
- #21
Unaitwa jaune pato umo ndani kuna Cindy ni hatari fayaKuna ulle wimbo wa koffi unaimbwa "asomba dugu dugu"
Unaitwa jaune pato umo ndani kuna Cindy ni hatari fayaKuna ulle wimbo wa koffi unaimbwa "asomba dugu dugu"
Kumbe pombe hunyosha kizungu eehNyimbo zote za Zairena za Kibongo ni kwa ajili ya pombe Local (hapa nimejumlisha gongo, chibuku na bia zote isipokuwa imported).
Unapoamua kunywa best brands za Whiskey kama Jack Daniels, John Walker (Blue Label), Balantines, nk ni hiphop na nyimbo za kizungu tu ndizo unatakiwa kusikiliza, maana hata kiingereza kinanyooka sana.
Hizo za kizungu labda kama una fanya mapenzi au hupo home una feeling au unawaza siasa kama we ni mnywaji lazima upige ngoma za Kongo plus na chalanga bar zote town bila kupigarhumba hawezi kuuza na mnywaji achagui pombeNyimbo zote za Zairena za Kibongo ni kwa ajili ya pombe Local (hapa nimejumlisha gongo, chibuku na bia zote isipokuwa imported).
Unapoamua kunywa best brands za Whiskey kama Jack Daniels, John Walker (Blue Label), Balantines, nk ni hiphop na nyimbo za kizungu tu ndizo unatakiwa kusikiliza, maana hata kiingereza kinanyooka sana.
Hizo za kizungu labda kama una fanya mapenzi au hupo home una feeling au unawaza siasa kama we ni mnywaji lazima upige ngoma za Kongo plus na chalanga bar zote town bila kupigarhumba hawezi kuuza na mnywaji achagui pombe
Kumbe pombe hunyosha kizungu eeh
Hii mbinu hujanifundisha,Ha ha ha, kuna muda ukinywa lugha inabadilika, na mara nyingi unaelekea kwenye kiingereza.
HakikaAlisikika mlevi mmoja akishukuru
Pamoja mkuu mlevi mwenzangu
Hii mbinu hujanifundisha,
Umenifundisha vitabu na movies tu
Kumbe Kuna hii pia
Za kitambo nasikiliza sana asa ambazo ni pop au r&b ambazo ndani kuna hip hop mfano no diggity ya blackstreet ndani kuna Dr dre ni kwa ajili ya feeling nikitaka kunywa na kufurahi basi nasikiliza za Kongo tuHiphop oldies za kina Pac, Diddy, Snoop, na wengineo mkuu, new schools unawasikiliza kina Gucci Mane, Migos, J Cole, Kendrick Lamar, Wiz Khalifa, DJ Khelid, J Cole nk
Hizo siyo za mapenzi, ni za kimaisha tu na kupeana mzuka wa kutumia na kutafuta nyingi zaidi.
O
Za kitambo nasikiliza sana asa ambazo ni pop au r&b ambazo ndani kuna hip hop mfano no diggity ya blackstreet ndani kuna Dr dre ni kwa ajili ya feeling nikitaka kunywa na kufurahi basi nasikiliza za Kongo tu
Kabisa kabisa..kwanza pombe ni starehe complete,kuwe na nyimbo kusiwe nazo pombe ina cover kila kitu...pombe ndio mziki,ndio chakula,ndio maji ndio kila kitu
Na hvyo vi grocery na vi pub vidogo vidogo ndio vinauza siku hizi..ma bar makubwa tunaenda mara moja moja sanaKwanza mi bnafsi skuhiz hata baa au sehem zile kubwa kubwa huwa sipend kwenda,mi napendaga vile vi glosary vya mtaan,utakuta tumeza tuwil tuu hapo,mdada anauza anakuwekea chochote unataka na ukitaka hata mdudu unamtuma..huku kwetu mbez ndo mwendo wetu huu,ni samak samak no club
Huwa vina changamka sanaNa hvyo vi grocery na vi pub vidogo vidogo ndio vinauza siku hizi..ma bar makubwa tunaenda mara moja moja sana
Bonge la songEfrakata pambe
Mkuu alcohol ni alcoholAcha kunywa mataputapu.
Siyo mazuri kwa afya.
¡Kwendra uko!
Kitu Latino Música
Arrrrrrrraaaaaa!
Siyo kweli mkuu.Mkuu alcohol ni alcohol