Kama umeamua kunywea kilevi nyumbani hizi nyimbo ni muhimu kuzipiga

Profesa ntare nkobe

JF-Expert Member
Feb 5, 2018
6,956
8,115
Kama unataka kunywa kinywaji chenye kilevi ukiwa nyumbani hili usiboreke na kilaji kipande kwa raha mustarehe sikiliza ngoma hizi..
Ferre gola Kamustra
Ferre gola Kilo 100
Koffi papa plus
Koffi Magie
Koffi efrakata
Koffi malembe
Koffi ultimatum
Koffi micko
Jb feux de L'amour
Jb masuwa
Jb genrique
Jb titanic
Jb omba
Extra musica obligatoire
Extra musica losambo
Fally ipupa associe
Fally ipupa ndoki
Kwa hizi nyimbo kilaji kina shuka kwa raha
 
.
IMG-20190704-WA0001.jpeg
 
Mimi nikinywea nyumbani nakuwa na lengo la kutafuta tu usingizi hivyo ni mwendo wa;

1. Abba- I have a dream
2. Cindy lauper- time after time
3. Judy Boucher- can't be with u tonight
4. Roxette- it must have been love
5. Madonna- the power of goodbye
6. Daniel powter- a bad day
7. Avant- lie about us
8. J holiday- bed
9. Jason derulo- watcha say
10. Gym class heroes- stereo hearts
 
We si mnywaj,..mnywaj hachagui nyimbo,yeye nyimbo yoyote anacheza tu
Kabisa kabisa..kwanza pombe ni starehe complete,kuwe na nyimbo kusiwe nazo pombe ina cover kila kitu...pombe ndio mziki,ndio chakula,ndio maji ndio kila kitu
 
Mimi nikinywea nyumbani nakuwa na lengo la kutafuta tu usingizi hivyo ni mwendo wa;

1. Abba- I have a dream
2. Cindy lauper- time after time
3. Judy Boucher- can't be with u tonight
4. Roxette- it must have been love
5. Madonna- the power of goodbye
6. Daniel powter- a bad day
7. Avant- lie about us
8. J holiday- bed
9. Jason derulo- watcha say
10. Gym class heroes- stereo hearts
Tears on my pillow unaiachaje
 
Nyimbo zote za Zairena za Kibongo ni kwa ajili ya pombe Local (hapa nimejumlisha gongo, chibuku na bia zote isipokuwa imported).

Unapoamua kunywa best brands za Whiskey kama Jack Daniels, John Walker (Blue Label), Balantines, nk ni hiphop na nyimbo za kizungu tu ndizo unatakiwa kusikiliza, maana hata kiingereza kinanyooka sana.
 
Fally ipupa-
eputsha
Liputa
Aime moi

Fere gola-
Qui vevra
Mere chef
Chichiwash

Werason-
Blandine

Wenge musica
Voyage
 
Kuna ulle wimbo wa koffi unaimbwa "asomba dugu dugu"

Back
Top Bottom