MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,801
Nimeona katika Gazeti moja Wiki hii kuwa Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Musoma Vijijini ( sasa Butiama ) Mzee Mkono utaletwa nchini baada ya Wiki Mbili.
Nimejiuliza Maswali mengi sana ambayo nitawaomba Wabobezi wa Masuala akina Bujibuji Simba Nyamaume na Dr Matola PhD wanipe Ufafanuzi wa Kina MINOCYCLINE hadi nielewe.
Kama Serikali kwa Kushirikiana na Ofisi ya Bunge zinaratibu Ujio / Uletwaji wake nchini Tanzania ( kama nilivyosikia ) sasa inakuwaje Mwili wake uletwe baada ya Wiki Mbili?
Kama Mpwa wake tu Kipenzi Tumaini aliyefia nchini India mwaka Jana Mwili wake ( ambao MINOCYCLINE, Afande Dk. Mugwe na Afande mwingine wa Mortuary Lugalo Hospital tuliufungua, tukaukagua na Kuuosha ) uliletwa nchini ( kwa Uratibu wa Ndugu, Jamaa na Marafiki ) Siku Tatu tu baada ya Kufariki Kwake huko kwanini Mwili wa Mzee Mkono ucheleweshwe hivi?
Huenda kuna linalochangia Mwili wake Kuchelewa kuja hivi hivyo naomba Nielimishwe kwanini Mwili wa Mzee Mkono aliyekuwa Mwanasiasa ( Mbunge ) uchelewe Kuletwa Tanzania ila Miili ya Watu Wengine wa Kawaida tu wanaofia ama huko huko Marekani, Ulaya na Asia huwa inawahi Kuletwa nchini kwa ajili ya taratibu za Maziko?
Halafu mnaokwenda Msibani kwa Marehemu Masaki ( Nyumbani ) Kuhani msiwe Waoga Kufungua Mtandao huu wa JamiiForums kwa Siri mkihofia IDs zenu Kujulikana na Watu mliokaa nao Karibu.
Kuna Mtu namhisi ni Arovera nimemfuma anasoma post yangu moja nyuma ya Gari yake kwa Kujificha na Kujipinda Juu huku mwingine namhisi ni adriz alikuwa kafungua kabisa Mtandao wa JamiiForums na nilivyoenda Kumsalimia haraka sana kabadili na kwa Kuzuga Kimtindo ananionyesha Mkeka wake aliomuua Arsenal na atakaomuua Simba SC leo. Kwanini hamjiamini na mnakuwa Waoga hivi?
Mwisho tunaomba kuwe na Updates za mara kwa mara kuhusu Ratiba nzima ya huu Msiba ( hasa hasa ni lini Mwili utaingia rasmi na mengineyo ya Umuhimu ) ili Watu tuliompenda mno Marehemu Mzee Mkono ( wakiongozwa nami MINOCYCLINE ) tuweze kwenda Kuupokea JNIA na kwenda nao hadi Lugalo Military Hospital Kuuhifadhi kabla ya taratibu zingine na zile za Kiitifaki Kufuatwa kwani Nimedokezwa huenda na Mama nae akajumuika katika kuja Nyumbani Kwake Kuhani na hata Kumuaga kutokana na Umuhimu mkubwa aliokuwa kuwa nao Marehemu ( hasa upande wa Maendeleo na Sheria ) ndani ya nchi yetu hii ya Tanzania.
R.I.P sana Mzee wetu Nimrod Mkono.