Kama Ningekuwa Rais

Walimu wenye shahada tunafundisha O-level,,pia huwezi kusomea ualimu kama hujapata division 1-3.
Kwa UDSM kama huna division 1 huwezi kusomea ualimu.
Kwahio huna jipya hapo bali nenda kafanye umachinga upigwe na jua tu.
 
Walimu wenye shahada tunafundisha O-level,,pia huwezi kusomea ualimu kama hujapata division 1-3.
Kwa UDSM kama huna division 1 huwezi kusomea ualimu.
Kwahio huna jipya hapo bali nenda kafanye umachinga upigwe na jua tu.

Mkuu mbona una hasira hivyo?,kwani mimi ndo nasababisha walimu mnalipwa mshahara tarehe 40?
 
Free ideas for president 2020.

Please from now i'm your campaign manager... you have what the president should think of and focus on to achieve.


damn i like you sir.
 
Kama ningekuwa Rais cha kwanza ningehakikisha madeni yote ya wazabuni wa ndani wanaoidai serikali ili hao wakipata pesa zitashuka chini hivyo mzunguko wa pesa kuwa mzuri, make kwa sasa pesa imeadimika kweli kweli wakati huo serikali imeshikilia pesa za wazabuni.
 
halafu baada ya hapo ungewaamrisha watanzania wabomoe misikiti na makanisa au sehem zozote za kuabudu kwa kuwa HUAMINI KUWA MUNGU YUPO. baraza lako la mawaziri lingekuwa na watu kama kina Kiranga Jimena real G nusuhela bona @ nyani ngabu CHUAKACHARA

Ningekuwa rais ningeomba sheria zote dhidi ya wanaomtukana rais zifutwe.

Niweze kuitwa bwege, kama anayeniita bwege angeweza kutetea hoja yake.

Ili hata kama nina ubwege niweze kuujua.

Sheria zinazokataza rais kuitwa bwege zinamnyima mwananchi kuonyesha ubwege wa rais na rais kujua ubwege wake kutoka kwa wananchi wake.

http://www.wpfc.org/site/docs/pdf/Insult Laws-Text.PDF



Insult Laws:


An Insult to Press Freedom
 

Hahaha
 
Hapa kwenye kiswahili, kumbuka kua kiswahili ni lugha ya taifa, tunahitajika kuipenda, kuenzi, kuilinda pamoja na kuiju
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…