Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 4,799
- 9,763
Wakuu heshima yenu.
Maandiko Yako wazi yanatuambia kuwa Shetani au Ibilisi aliasi huko mbinguni na akatupwa Duniani.
Na mara zote tunaambiwa Huko mbinguni hakuna dhambi maana wanaishi viumbe watakatifu tu akiwako na Mungu Baba.
Tena Bibalia inasema katika kitabu Cha mwanzo Nanukuu..
Mwanzo 2:16-17 (KJV) Bwana Mungu akamwagiza huyo mtu, akisema, Matunda ya kila mti wa bustani waweza kula,
walakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa maana siku utakapokula matunda ya mti huo utakufa hakika.
Maandiko haya yanaonyesha wazi kuwa kama kama Adamu &Eva wasingekula lile tunda basi wasingeweza kujua mabaya!. Wao Daima wangewaza mema tu.
Maswali yangu ni haya.
1: Iwapo mbinguni wanaishi watakatifu pekee ilikuaje huyu mtakatifu mwingine (Ibilisi) akaasi?
2:kama Mungu alimshindwa shetani kumuangamiza na badala yake akumtupa Duniani .Je! Binadamu ataweza vipi kupambana na kiumbe asichokiumba na chenye uwezo zaidi yake ?
3:Tuna soma kwenye biblia kuwa Mungu ni mweza wa yote na ni Alfa na Omega(mwanzo na mwisho). Alishindwa vipi kujua kuwa huyu shetani ataenda kuleta uharibifu duniani?
4: Baada ya shetani kuleta dhambi(uharibifu) Duniani kwanini Mungu anaonekana hadili na shetani direct na badala yake ana dili na wanadamu na kuwaangamiza kabisa.Mfano safina ya nuhu,sodoma na gomola nk?
SWali la ziada.
*Ni kwanini yesu (masihi/kristo) pamoja na uwezo wake wote alikubali kupandishwa mlimani na shetani?
Naomba maswali haya wajibu wenye Nia ya kujifunza. Kejeri na matusi sio sehemu sahihi.
Picha ni mfano wa shetani alivyompandisha yesu mlimani.
Maswali yanahitaji majibu.
Ahsantee