Kama huu ndio udikteta na Kushindwa kwa rais Magufuli basi tunamhitaji kwa zaidi ya miaka 100!

Kiukweli Tanzania sasa tumepata Rais. Ushabiki wa kisiasa tuuweke pembeni. Siamini kama mgombea wetu Lowasa angeweza muziki huu
MUNGU NI MWEMA SANA KUTUPA RAIS MAKINI. HAKUUTAFUTA URAIS KWA NGUVU NA PENGINE HAKUPANGA KUGOMBEA. WENGINE WALIJIANDAA MIAKA MINGI KWENDA IKULU KWA GHARAMA YOYOTE!! WAKAFANYE NINI?? ASANTE MUNGU!!
 
Mangwini wa Lumumba mnashida Sana hivi hapo Kuna ironic kali ipi ?


1. How 'ironic' is ironic to you?

2. "UKAWA waziba plasta mdomoni" ... hii ndo 'ironic' kali kwako eeh?

3. "Mbowe atikisa jiji la Mwanza kwa maandamano"... hii kwako ndo 'ironic' kali eeh?

Siasa za nchi hii za hovyo sana. Wafuasi wanakuwa vipofu na mazuzu kiasi cha kutoona wala kusapoti chochote kile cha maendeleo ya nchi. UPINZANI does not necessarily compell you upinge na kubeza kila kitu.

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom