OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,015
- 114,360
Viongozi wa upinzani mmepata sababu na ushahidi wa kutangaza kujitoa kwenye huu uchaguzi wa kihuni.
Kinachofanyika na serikali ya CCM ni kuona watu wote hawana akili kabisa ni mapunguani. Ni dhahiri hawa watu wamejipanga bila kujali aibu yeyote. Ukiangalia sababu za kuenguliwa ni za kijinga kabisa.
Sasa unaweza kujiuliza kama ni fomu tu hali ipo hivi, vipi upigaji wa kura? Hali si itakuwa kufuru.
Wapinzani wekeni tamaa za uongozi pembeni na kutoa tamko rasmi la kususia uchaguzi. Kuendelea kushiriki uchaguzi wa hovyo kama huu ni kubariki ushindi wa wizi wa CCM