Kama Condom zinagawiwa bure basi Pedi nazo zigawiwe bure

Hivi mnaoletaga hii mada mnatumiaga nin kufikiria 😂

Hivi hamuwez kuleta mada yenu bila kuzihusisha condom?

Kwa hio serikali ikisema haitoi condom za bure zote ziwe za kuuza mtafurahi na kusema kwa kuwa condom zinauzwa na ped ni sawa kuuzwa?

Jengeni hoja kuonesha umuhimu wa kugawa Ped bure ila sio kuleta na mada ya condom humo ndani,

Niny ndio mnaolinganishaga Mke na Mama
 
Hivi mnaoletaga hii mada mnatumiaga nin kufikiria

Hivi hamuwez kuleta mada yenu bila kuzihusisha condom?

Kwa hio serikali ikisema haitoi condom za bure zote ziwe za kuuza mtafurahi na kusema kwa kuwa condom zinauzwa na ped ni sawa kuuzwa?

Jengeni hoja kuonesha umuhimu wa kugawa Ped bure ila sio kuleta na mada ya condom humo ndani,

Niny ndio mnaolinganishaga Mke na Mama

Wasamehe mkuu!!

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
 
Ilipaswa Pads zigawiwe bure hasa kwa mabinti chini ya umri wa miaka 20 basi tu umaskini.

CO ziendelee hivyo hivyo kugaiwa bure uhamasishaji wa matumizi Uendelee kufanyika kwa viwango vya juu sana.
 
Serikali haijawahi kutoa Condom za bure mara zote utasikia kwa hisani ya watu wa Marekani. Labda muwaombe hao watu Wamarekani watoe hizo Pad za bure
 
Usifananishe condom na pads uikosea heshima condom na ulaaniwe churaa
 
Na pads zikigawiwa hure serikali ifanye mchakato pia wa kugawa chakula na maji bure.
 
Back
Top Bottom