Kajibebesha Mimba alafu anataka nimuoe

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,941
24,816
Ni binti tu wa makamo ana miaka 19 tu nilianzisha nae mahusiano.

Binafsi nashindwa kumuelewa mi nilianzisha hayo mahusiano kwa sababu ya kudinyana tu aswa ukizingatia kwenye kubadilisha Radha baada ya kuwachoka mademu wenye miaka 28 and Above

Binti bado kigori, chuchu saa sita na ata ile siku yake ya kwanza kukutana nae zile sehemu zake za uzazi zilikuwa bado ziko vyema kabisa hazijaguswa sana japo sikumkuta bikra.

Nilimweleza wazi kwamba kwa sasa mimi siwezi kumchukua na kuishi nae kwa sababu sijapanga nioe hivi karibu ila tu ninachoitaji kwake ni mapenzi, tufanye kila mtu Afurahi it's simple, hivyo Ajikinge kuhusu kupata Mimba.

Baada ya minyanduano kadhaa ikapita kama mwezi hivi akaanza kuniletea story ya kwamba anahisi ana Mimba, Nilijua utani wiki iliyopita nikamwita kapima mbele yangu kitu imooo nimeshuhudia kwa macho yangu.

Tatizo likaanzia hapo mtoto anaishi kwao, Mimba ndio hiyo imeanza kumsumbua kutapika, uchovu na Nk. Kwao wameshajua na wanataka niende nikaongee na mzee wake ili nikabidhiwe.

Kila nikijaribu kumpanga huyo mwanamke awaambie wazee wake kwamba mimi kwa sasa niko mbali nikirudi nitaenda, ila kuhusu Mimba Nitalea tu fresh na ata mtoto akizaliwa

Lakini sasa Binti naona hanielewi ndio kabisa Ananikomalia. Na anadiriki kuniambia wazi wazi ya kwamba yeye hajari chochote kitakachotokea anachohitaji zaidi kwa sasa ni kuja kuishi na mimi tu.

Sijui hata nimfanyaje huyu binti.
 
Utatoa mimba ngapi acha azae tu, mm pisi ikibeba mimba habari za misoprostol ni marufuku kwa pesa angu dhambi zimetosha labda yake.

We mpeleke tu akaanze clinic mapemaa
Siwezi kumtoa shida ni yeye pamoja na wazazi wake wanangangania aje aishi kwangu kwa lazima
 
Siwezi kumtoa shida ni yeye pamoja na wazazi wake wanangangania aje aishi kwangu kwa lazima

Haaaa kuozeshana kwa lazima si ni kijijini miaka ya mwingi, mjini utaoa vip hujajipanga mtakula mawe ndani.

Wambie watulie ujipange, akisha zaa unamsaidia kulea anapata bwana mwingine kazi imeisha
 
Haaaa kuozeshana kwa lazima si ni kijijini miaka ya mwingi, mjini utaoa vip hujajipanga mtakula mawe ndani.

Wambie watulie ujipange, akisha zaa unamsaidia kulea anapata bwana mwingine kazi imeisha
Ndio ata mimi Nashangaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom