Kairuki: Walimu wa sanaa hawataajiriwa

duuh hakuna hatari kama kusoma ukijua baada ya shule ni ajira then unakaa mtaani, yaani unachanganyikiwa mnoooo na wakati mwingine kama hujui kujiongeza ndio unakuta mtu anaongea mwenywwe
2020 inakuja. Sio mbali.
 
kwa cheo chake hata bei ya mchele haijui, yanini ahangaike na maskini
Aliyeshiba ukimwambia unanjaa anaona unampigia kelele
 
Et mwaka 2015/2016 ajira 90 limesahau lilisema ajira zmesitishwa ..hv kwann wanasahau kama kuku hyo na mkulu wake wote nahia wanavyet fek mana wanasahau walichosema wenyew
 
Jiajirini
Vijana wa darasa la saba wanajiajiri na wanafanikiwa kupata kipato cha kuendesha maisha yao lakini wasomi wa ualimu wa Sanaa wanalalamika huku wanaendelea kuishi kwa baba zao na mashemeji zao.
Duniani kote kuna tatizo la ajira, vijana kuweni wabunifu siyo kulalamika tu.
 
Kama mwaka wa fedha 2016/2017 ajira zilikuwa elfu 90 na hazikuonekana hata kwa tochi, itakuwaje kwa mwaka huu wa fedha hizo elfu 50 si itabidi utambikie mizimu ndo uzione.
Ukisikiliza hiyo clip, hajasema ajira elfu tisini, kasema elfu tisa!
 
Jiajirini
Vijana wa darasa la saba wanajiajiri na wanafanikiwa kupata kipato cha kuendesha maisha yao lakini wasomi wa ualimu wa Sanaa wanalalamika huku wanaendelea kuishi kwa baba zao na mashemeji zao.
Duniani kote kuna tatizo la ajira, vijana kuweni wabunifu siyo kulalamika tu.
Nan kakwambia wanaish kwa baba zao labda kama wanaish kwa babako....kwan ukiwa umejiajil na ukapata kaz n vbay?walisoma ilibwajiajir au walisoma waajiliwe?kwan waajiliwa wanategemea mshahara tu au na vipato vingne?au ulitaka uongee tu usikike.tatiz la watu walumumba kusifia na kutetea upuuzi..hata mt akijiajir still ataka ajira alosomea ingekuw hv bas watu wasingepotez muda kusoma ...
 
Waziri kasema Ktk mwaka wa fedha 2017 /2018 serikali itaajiri walimu 16,000 je hao ni walimu wa sayansi tupu au??
 
9e5f595705b791cb44b4f6cd5f97d981.jpg
 
Zilikuwa za MA-RCs, DC, DED, DAS na mabalozi.
Hizi nazo ni sehem ya ajira ? Ajira gani hizi zinatolewa kwA kuchaguliwa kama vip na zenyewe zingekuwa zinatangazwa tungeziweka katika kundi la ajira, kwa hiyo hadi mawazir pia nao ni sehem ya hizo ajira, kwa hiyo hao walifika elfu 90 kwel, kama upotoshaji nn, wakati kila siku wanasema walikuwa wanafanya uhakiki kumbe walikuwa wanaajiri kimya kimya bila shaka watakuwa wanawaajiri ndugu zao na watoto wao kama ni hivyo
 
Ndiyo hizo ajira aisee
 
Back
Top Bottom