Nalaani kwa nguvu zote ujio wa udidkteta awamuya tano na jeshi la polisi linalofanya kazi kama robot ya kichinaItelejesia yao inaona Chadema tu, huku majambazi wakipeta na kuchinja raia kama hawana akili nzuri vile.
opposition camp wasilichukulie hili kuwa ni tatizo bali fursa yao pekee ya kuonyesha upinzani wa kweli ambao tumekuwa tukiulilia miaka yote. I hope you guys don't fail us.Viongozi 22 wa CHADEMA wameshtakiwa katika mahakama ya Wilaya Kahama kwa kosa la mkusanyiko kinyume na sheria.
Jana Jeshi la Polisi lilipiga marufuku mkutano wa CHADEMA uliokuwa ufanyike Kahama.
Viongozi haoni Lembeli, Godbless Lema, Mwenyekiti wa BAVICHA Patriobas Katambi
View attachment 354733
View attachment 354734
Kilimanjaro ilishakombolewa siku nyingi, hakuna CCM tena huku.Huku tulipigwa mabomu mwaka 1995 kamuulize Agustin Lyatonga Mrema atakuelezea vizuri.CHADEMA maandamano na mikutano ya vurugu haijawahi fanyika kilimanjaro toka CHADEMA ianzishwe hufanyika mikoa mingine sio kilimanjaro kwa nini?
Kafanye wewe, wewe unawapangia CHADEMA mahali kwa kuandamana?CHADEMA maandamano na mikutano ya vurugu haijawahi fanyika kilimanjaro toka CHADEMA ianzishwe hufanyika mikoa mingine sio kilimanjaro kwa nini?