Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,487
- Thread starter
- #21
Mkuu when it comes to business money talks, not history.Nafikiri hata mizigo ya Kongo kuikwepa Tanzania lazima ina mahusiano na hili,Rwanda inatuhumiwa kutaka kuimega Kongo ili iunde taifa la wanyarwanda huko na ihamishie raia wake wengine huko....ni Tanzania ndiyo ilizuia,Rwanda ilitaka kumpindua nkurunzinza,Tanzania ikazuia,Rwanda ilipanga kumuua Mkuu wake wa zamani wa jeshi,Tanzania ikazuia na ikampeleka afrika kusini,Rwanda inabinya Uhuru wa habari japo sijui kama na huko hawarushi bunge laivu
Rwanda inapitisha mizigo ya zaidi ya Trillion 4 bandarini kwa Mwaka, unataka tuache deal hilo litupite hivi hivi kwa sababu ya historia yao??
Kwani mgogoro wa Rwanda na Burundi umeanza leo?? Tangu muingereza anawatawala walikuwa na bifu ya kufa mtu. Kifupi bifu yao ina mizizi ya zaidi ya miaka 150, leo unataka kujiingiza utaweza??
Nyerere alijiingiza tangu enzi za kina Ndadaye yakamshinda, amekufa bado kunafukuta mpaka leo, Magufuli ataweza??
Lazima wabongo tuondokane na fikra za kijamaa sasa, when it comes to business money talks, not history...