Kagame mshahuri rais Magufuli aongeze muda wa kutawala

mogulnoise

JF-Expert Member
Oct 28, 2014
2,434
5,537
Kwanza nimpongeze Rais JPM kwa kubainisha kuwa anashahurika na moja wa washauri wake ni Kagame

Hii imezunja Ile minong'ono kuwa Rais JPM hashauriki

Hivyo basi naomba Kagame umshahuri Rais JPM JUU YA KUONGEZEA MUDA WA KUTAWALA coz hii miaka 10 ya kikatiba haiwezi kuleta mabadiliko ambayo Rais JPM anayawaza kufanyia wa TZ


Tanzania ya viwanda kwa miaka 10 itakuwa ndoto kwani hata Ruanda Kagame amekaa zaidi ya miaka 10 but haijawa Ruanda ya viwanda


Ni mtazamo tu IDD Mubarak
 
basi tubadili katiba awe mfalme
 
Hata kama umetumia mb zako kupost uzi wako lakini kwa hili ulilopost ni zaidi ya pumba nilizowahi kuziona.
 
Ruanda=Rwanda
 
Hata kama umetumia mb zako kupost uzi wako lakini kwa hili ulilopost ni zaidi ya pumba nilizowahi kuziona.
Ukiwa unaelewa fasihii utatambua dhamira ya hii post kuna mambo huwezi fanya kwa muda mchache mfano huwezi jenga gorofa kwa wiki moja so unganisha dot hapo ndio utajua tunaota ndoto za mchana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…