barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,375
- 29,732
Poleni sana, naona miti yote inateleza!!Sukari hakuna
Lugumi haruhusiwi kujadiliwa bungeni
Kafulila kashindwa kesi
Kweli hapa ni KAZI TU.
Poleni sana, naona miti yote inateleza!!Sukari hakuna
Lugumi haruhusiwi kujadiliwa bungeni
Kafulila kashindwa kesi
Kweli hapa ni KAZI TU.
Nasikia Ester Bulaya alitumia mahakama ya the hague!We ulitarajia Kafulila ashinde hii kesi ndani ya utawala huu!?
Kungelikuwa na mahakama isiyo ya ccm, bila shaka angekata rufaa na angeshinda.
Kama ile ya Ester Bulaya, ilikuwa ya chadema eti eeeh!!Kungelikuwa na mahakama isiyo ya ccm, bila shaka angekata rufaa na angeshinda.
Tatizo watu wana vichwa vya panzi, Lema na Bulaya walishinda mahakama zipi??Hivi wale wengine kina Lema waliokata rufaa, sijui kina nani waliposhinda kesi zao za kuporwa ubunge walishinda kwenye mahakama za nani?
Bavichaaaaaa, lema na bulaya vipi??Kafulila kushinda kesi wakati hakimu na Jaji ni watu wa CCM ni vigumu sana
Habari wakuu,
Aliyekuwa mbunge wa Kigoma kusini, David Kafulila ameshindwa kwenye kesi yake iliyokuwa ikisikilizwa mahakama kuu kanda ya Tabora kuhusu kupinga matokeo yaliyompa ushindi mbunge wa CCM, Hasna Mwilima.
Silinde Jana aliposhinda haki alitendeka Leo kafulila kuahindwa mahakama ya ccm acheni unafikiKungelikuwa na mahakama isiyo ya ccm, bila shaka angekata rufaa na angeshinda.
Bavichaaaaaa, lema na bulaya vipi??
Kungelikuwa na mahakama isiyo ya ccm, bila shaka angekata rufaa na angeshinda.
Habari ndio hiyo akifanikiwa tena kurudi Bungeni 2050 ajue kupigania maslahi ya wapiga kura wake, asitafute umaarufu kwa kupigania taifa zima akasahau waliompa ridhaa ya kuingia bungeni, kama hutaki tengeneza juice ya pilipli, limau, shubiri na tangawizi ushushie mchana huuKwani escrow ilikuwa ya wapuga kura wa nani..
panuka kifikra siyo unakuwa kama Agnes
Tatizo watu wana vichwa vya panzi, Lema na Bulaya walishinda mahakama zipi??
Kumbe vyura bado mpoo.Habari ndio hiyo akifanikiwa tena kurudi Bungeni 2050 ajue kupigania maslahi ya wapiga kura wake, asitafute umaarufu kwa kupigania taifa zima akasahau waliompa ridhaa ya kuingia bungeni, kama hutaki tengeneza juice ya pilipli, limau, shubiri na tangawizi ushushie mchana huu