magukulu ga mihanda
Member
- May 5, 2017
- 9
- 18
Mkoa wa TangaNina rafiki yangu mzungu ktk project fulani huko nchi jirani na Tz lkn anadai yeye ni jamii ya Wanguu na eti ni kabila lipatikanalo huko kwetu Tz.
Ni mkoa upi Wanguu hupatikana huko kwetu?
Kweli wewe ni mwenyeji wa Kiteto, wengi hawalijui hilo kabila kabisa.Wapo kiteto hasa kibaya
Wanapatikana Kibaya-Kiteto.Linapatikana wilaya (mpya) ya Kilindi. Mji mkuu/ makao makuu ya wilaya hii yanaitwa Songe. Ni wilaya ilimegwa kutoka Wilaya ya Handeni na inapakana na Kiteto. Watu wa mkoa wa Tanga huwa wanawadharau sana Wanguu na hata wao hawapendi kujitambulisha kama Wanguu. Mbunge wao alikuwa hayati Beatrice Shelukindo mbunge wa sasa sijui ni nani.
Nimevutiwa na namna ya uandishi wako..... Ndio tujue kwamba nawewe upo abroad au...Nina rafiki yangu mzungu ktk project fulani huko nchi jirani na Tz lkn anadai yeye ni jamii ya Wanguu na eti ni kabila lipatikanalo huko kwetu Tz.
Ni mkoa upi Wanguu hupatikana huko kwetu?
Nimevutiwa na namna ya uandishi wako..... Ndio tujue kwamba nawewe upo abroad au...
Nimevutiwa na namna ya uandishi wako..... Ndio tujue kwamba nawewe upo abroad au...
Nimevutiwa na namna ya uandishi wako..... Ndio tujue kwamba nawewe upo abroad au...
Nimevutiwa na namna ya uandishi wako..... Ndio tujue kwamba nawewe upo abroad au...
Ooh ushimen,samahani endapo nimekukwza!Nimevutiwa na namna ya uandishi wako..... Ndio tujue kwamba nawewe upo abroad au...
Acha uongo. Mimi ni engineer na ni mtu wa nguumoja kati ya makabila vilaza ni hawa jamaa, hawana msomi hata mmoja serkaln
Hakika haujanikwaza comrade....Ooh ushimen,samahani endapo nimekukwza!
Nakubaliana na wewe nimewahi sikia hivyo toka kwa wazee wangu kuwa wanguu wanapatikana Turiani ambapo kuna wazigua na hao Wanguu na hoja ya kuwa ni mpakani mwa kilindi na turiani naikubali mkuuKabila LA wanguu wapo mpakani Kati ya morogoro na Tanga yaani wapo Turiani na Handeni
Una uhakika gani na unachoandika?Tatizo watanzania wengi mnakariri makabaila makubwa mtu akikwambia yeye Mnguu unakuewa huelewi na hivyo wengi hupenda kujitambulisha kwa makabila kama wazigua au wakagurumoja kati ya makabila vilaza ni hawa jamaa, hawana msomi hata mmoja serkaln
Ni kweli maeneo ya turiani moro pia wako upande.wa tanga na upande manyara,pia wako maeneo ya kiteto kwa hakika wamesambaa maana mpaka maeneo ya.dosidosi mkoa dodoma pia wako.Kabila LA wanguu wapo mpakani Kati ya morogoro na Tanga yaani wapo Turiani na Handeni
Nina rafiki yangu mzungu ktk project fulani huko nchi jirani na Tz lkn anadai yeye ni jamii ya Wanguu na eti ni kabila lipatikanalo huko kwetu Tz.
Ni mkoa upi Wanguu hupatikana huko kwetu?