Juma Nature: His Top Five of All The Time

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
52,035
114,456
Anaitwa Juma Kassim wale watu wazee tunaofia rap "isiyo ya kukopi" yenye radha ya "rap katuni" tunamuita Sir Juma Nature Kiroboto "Mwanaume Halisi'

Kijana huyu ana historia nzito sa a kwenye game ya rap hapa Bongo. Mkuu wenu sijaja kutoa historia yake,nimekuja na Top Five ya Nature ambayo binafsi huwa nikisikiliza tracks hizi moyo wangu husuuzika katika kiwango cha juu sana.

1.Hili Game (Zote ft TID/Mr.Paul
2.Radhia ft Doro
3.Mzee wa Busara ft Inspector Haroon
4.Mtoto Idi
5.Ubinadamu Kazi

Bonus
1. Shemeji
2.Jinsi Kijana
3.Mgambo
 
Kwenye list ya wasanii.weny mkwanja zamani walikuw wanamuweka na huy jamaa hv kuna ukweli wowote
 
Mleta uzi huu nakumbuka show ya mwisho kuhudhuria ulikuwa uzinduzi ya Alban ya nature na solo thang pale pool side enzi hzo Dah ....ilikuwa burudani aise licha Kna zogo lilitokeaa

Ova
 
Radhia sio wimbo wa Nature acha ukanjanja
 
Staki demu haupo,mkuu unamkubali nature,tafuta habari zake vizuri
Achana na ile kitu sitaki demu ilikuwa balaa.

Ile ngoma ndio ilibeba albam nzima ya ugali...

Ila huyu jamaa kwenye ngoma 8 bora za Juma hakuna wimbo wowote kutoka kwenye Albam iliyoweka record ya kujaza watu diamond Jubilee siku ya uzinduzi wake.

Nahisi kaadithiwa hakuwepo mjini enzi zile.
 
Alikua bado yuko shamba itakua.
 
Aliniboa sana na ule wimbo wa mtajiju,namkubari sana,sinta na kingwendu walimwakilisha kupokea tunzo
 

We mlugaluga bora ungewachambua kina best naso na timbulo tu ..huyo necha ungetuachia wenyewe ma born town kitambo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…