Jukwaa la Wahariri (TEF) wamkalia kooni Prof Lipumba

Jukwaa la wahariri nchini ( TEF ) limelaani tukio la waandishi wa habari kupigwa kwenye mkutano wa-CUF.
Lamtaka prof.Lipumba atoe kauli juu ya tukio hilo.

IMG_20170426_133300.jpg

IMG_20170426_133304.jpg
 
waandishi wawe wakali zaidi...walifungie lilipumba na kwabashite iwapo kunapicha ya pamoja waweke kivuli sehemu yake!! Hatutaki kumsikia wala kumwona,shabaash!!
 
Lipumba asipokua makini atapigwa Bao la kisigino na Maalim Kama TEF wataamua kufanya kamawalivyomfanyia BASHITE
 
Si mara ya kwanza kwa Profesa kulumbana na kutoona umuhimu wa wanahabari ikumbukwe kipindi akiwa mwenyekiti wa CUF wanahabari waliwahi kususia kuandika/kuonesha habari za CUF wakati ule.
 
Tamko koko,unamuonya Lipumba ni dalili ya woga na kujipotezea wasomaji.Mbona Makonda hakuonywa,sasa mmegundua makosa yenu ya kukurupuka mnakuja na maonyo.
Maonyo na kulia lia hakusaidii.Washinikizeni waandishi waliathirika wakafungue kesi
 
Jukwaa la wahariri wenyewe vizabizabibina na roho mbaya ndio zinawasumbua. Wamembani mchapakazi Paul Makonda kwa ishu za uzushi bila hata ushahidi wa pande zote mbili.

Hivi kwa Mwangosi, jukwaa la wahariri walichukuaga hatua gani kweli jamani.? Waliishia kutoa matamko tu wakawa wapole.

Hawa jukwaa la wahariri ni roho mbaya tu inawasumbua, hakuna kingine.

Sasa kwa Lipumba wamechezea kichapo, wanaishia kuandika matangazo tu.

Mchapakazi Makonda hata ushahidi haujitoshelezi wakampa burn. kwa roho mbaya zenu na u "double standards" wanahabari mtaendelea kuzinguliwa tu, maana inaonyesha maamuzi yenu yanahusisha wivu binafsi kwa mtu na sio ishu mezani.
 
Acha mahaba, tumia ubongo kufikiri
 
Back
Top Bottom