Yadaiwa kuwa Gigi Money alipigwa na mpenzi wake hadi kutoka ngeu baaada ya kudaiwa kutoka kimapenzi na Joti na Gigi Money kudai kuwa Joti ana sehemu ndefu isiyoonekana ndio maana amempenda.
Joti ameulizwa na kumruka vikali na kudai yeye ana mke na familia na hawezi kutoka nae
Pia amedai Orijino Komedi haijafa kama watuwanavyodia bali wapo likizo