The Stress Challengerr
JF-Expert Member
- Jan 18, 2020
- 3,408
- 9,275
????Inakuwaje wanajamvi!
Huyu mwamba namsifu sana kwa kukitukuza na kukitangaza Kiswahili.
Lakini badooo tena sana yani bado tu. Analazimisha. Yani levo yake ni shallow balaa chini kabisa.
Nimemchunguza dogo Kiswahili chake cha kawaida tu ila anajitahidi na kujitutumua kwenye hii lugha adhim.
Hawez kabisa kutufikia hata robo magwiji wa hii lugha.
Ila hatumkatishi tamaa tunampongeza nakumtia moyo katika harakati zake za kujuwa kuongea Kiswahili fasaha. Lakini pia hatujaridhishwa na kiwango chake kwenye hii lugha mufti natunashangaa wanaomsifu.
Wengine wanaolazimisha Kiswahili fasaha ni Salim Kikeke na PLO Lumumba. Hasa huyu lumumba ndio kabisa kiswahili chake cha kukariri siyo asili anaongea misamiati yake ya kutunga na kusadikika.
Senior JF linguistics expert
Masters!
Waaapii wote hao hawajui kiswahili. Subirini tu hapa kati naandaa darsa muft na kuntu maamae kuwanowa kwenye hii lugha adhim.Kiswahili hakina mwenyewe,kiswahili kinalahaja lukuki,hata wewe watu wa Lamu,pete,mombasa,segeju,tanga na unguja na owmba wanakushangaa unaongea lugha gani
Ww unayejisifu gwiji wa kiswahili umekifanyia nini kiswahili na unamchango gani ?ndio kwanza unachanganya kiswahili na kiingereza shallow , levo ndio nini?Inakuwaje wanajamvi!
Huyu mwamba namsifu sana kwa kukitukuza na kukitangaza Kiswahili.
Lakini badooo tena sana yani bado tu. Analazimisha. Yani levo yake ni shallow balaa chini kabisa.
Nimemchunguza dogo Kiswahili chake cha kawaida tu ila anajitahidi na kujitutumua kwenye hii lugha adhim.
Hawez kabisa kutufikia hata robo magwiji wa hii lugha.
Ila hatumkatishi tamaa tunampongeza nakumtia moyo katika harakati zake za kujuwa kuongea Kiswahili fasaha.
Lakini pia hatujaridhishwa na kiwango chake kwenye hii lugha mufti natunashangaa wanaomsifu.
Wengine wanaolazimisha Kiswahili fasaha ni Fatma karume shangazi, Salim Kikeke na PLO Lumumba.
Hasa huyu lumumba ndio kabisa kiswahili chake cha kukariri siyo asili anaongea misamiati yake ya kutunga na kusadikika.
Senior JF linguistics expert
Masters!
lakini linguistics expert ungeiandika kwa kiswahili ingependeza zaidi,Inakuwaje wanajamvi!
Huyu mwamba namsifu sana kwa kukitukuza na kukitangaza Kiswahili.
Lakini badooo tena sana yani bado tu. Analazimisha. Yani levo yake ni shallow balaa chini kabisa.
Nimemchunguza dogo Kiswahili chake cha kawaida tu ila anajitahidi na kujitutumua kwenye hii lugha adhim.
Hawez kabisa kutufikia hata robo magwiji wa hii lugha.
Ila hatumkatishi tamaa tunampongeza nakumtia moyo katika harakati zake za kujuwa kuongea Kiswahili fasaha.
Lakini pia hatujaridhishwa na kiwango chake kwenye hii lugha mufti natunashangaa wanaomsifu.
Wengine wanaolazimisha Kiswahili fasaha ni Fatma karume shangazi, Salim Kikeke na PLO Lumumba.
Hasa huyu lumumba ndio kabisa kiswahili chake cha kukariri siyo asili anaongea misamiati yake ya kutunga na kusadikika.
Senior JF linguistics expert
Masters!
Tulieni niwape darsalakini linguistics expert ungeiandika kwa kiswahili ingependeza zaidi,
lakini kwenye andiko lako lote hili la kujaribu kumshusha huyo kijana chini na kujipandisha wewe juu, ni msamiati au neno moja tu ndio jipya kutoka kwako "lugha mufti" umeandika kawaida na sawa tu anaejua kiswahili kawaida...
nilitegemea misamiati, nahau na misemo tofauti tofauti mipya ya kiswahili kupambanua umahiri wako katika lugha ya kiswahili zaidi ya uliemshusha chini π
hicho ndicho muhimu zaid πTulieni niwape darsa