William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,759
- 2,391
Huu ni waraka wazi kwa John Mnyika Kama katibu mkuu mpya wa CHADEMA, Katika mazingira yaliyopo kunakitu Chadema kimekosa na kinaitaji marekebisho kadhaa ili kwa uwazi kionekane ni chama Cha kuwasemea watu na sio kukosoa tu na hivyo kuonekana ni chama adui kwa jicho la usalama na ustawi wa nchi
Kuna vitu vitatu muhimu CHADEMA inapaswa kuchukua hatua ili kuwa chama chenye nguvu zaidi.
1. Kiache kuwa chama Cha kupiga majungu au kutoa ukosoaji au propaganda Bali kiwe NI chama kinachoweza kutoa na kuzitangaza Sera zake mbadala bila kukashifu au kutukana mtu.
Wanao wajenga Sera wazuri, pia watumie wataalamu kuona namna Bora ya kusimama na kueneza Sera zao vizuri. Sera zao zikiwa wazi, nzuri na zinazoeleweka kunakuwa hakuna haja ya kuwa na akina kigogo au kimambi hakika chama kitajitangaza chenyewe.
2. Kiwe na majibu ya kero za watu sio kulalamika bila kuweka suluhisho wazi. Lazma waoneshe watu vipi wanaweza kuongoza, Mfano kwenye swala la kikokotoo ni busara za Bulaya na Mnyika kutoa hoja bila kutukana Wala kukashifu ziliwasaidia wastafu kwani Raisi aliwasikia na kuchukua hatua.
Unapokuwa chama pinzani lazma ufurahie matatizo ya watu yakitatuliwa kupitia Kazi yako ya siasa na sio kufuraia watu kuumia ukijipa moyo eti ni mtaji wa kisiasa. Pamoja na matatizo mengi kufanyiwa Kazi lkn upinzani umekua Sana nchi za Magharibi sababu vyama vinajitangaza kwa Sera Safi. Sikufuraia kabisa jinsi mdee alivyozifunga hoja za umuhimu ya watoto wa kike kuendelea na masomo kwenye furushi la kashfa, zarau na kejeri kisa tu anaamini havunji Sheria
3. Kije na majibu ya kero zote za watu, Nchi zinazoendelea ata Kama kiongozi akiwa mzuri vipi kero hazikosekani na NI nyingi mno. Cha kushangaza CCM kimekuwa aware na kero na kujua maisha ya watu kuliko ata upinzani. Bei ndogo ya mazao, mifumo mibovu ya ununuzi mazao,Bei Kali za viwatilifu,pembejeo na mbegu.
Haiwewezekani Bei ya kg moja ya mbegu ya mahindi iwe ZAIDI ya Bei ya debe mbili au kg 40 za mahindi. Mnakuja na wazo gani hapo. Inakuwaje land Locked country Kama Uganda kuwa na Bei nzuri ya bidhaa za viwandani kutoka nje, Bei juu ya mazao Kama kahawa Hadi watanzania tuna karibu kupeleka kwao kimagendo. Nje na utafiti NI kwanini iko ivyo na mtabadili vipi Mambo....
4. Msije na Sera kwenye misaafu watanzania hawawezi kusoma misaafu. Andaeni vijarida vyenye maelezo machache na picha. Fanyeni Kama wamisionari walivyoandaa vijitabu v na vijarida vya hadithi za biblia ili watu ziwafikie kila Kona. Mfano mnaweza kuandaa vijarida vidogo Kama Ishirini tofauti vyenye vipande vya Sera kwenye kundi Fulani la watu.
Mfano watumishi wa umaa, wafanyakazi sekta binafsi, Wakulima wa mazao tofauti Kama pamba, tumbaku, kahawa, Michele, mahindi, korosho, choroko,alizeti. Mfano Chadema na Wakulima wa pamba, Mnaonesha kero zao,mfano kuanza kukopwa, urasimu wa ushirika, viwatilifu kuwa Bei juu na mbegu Bora. mlichopanga kuwafanyia kuondoa kero mfano Bei ya pamba kutajwa kabla ya kuanza kulima, kugawa viwatilifu na mbegu bure kwa kufidia kwenye tozo, kuruhusu wanunuzi huru bila kulazmisha ushirika, (Nasisitiza utafiti NI kitu Cha msingi hapa) na kuzitatua na kuzigawa sehemu wanakolima pamba.
Vijarida hivyo viwe huru kupigwa kopi na kugawiwa watu husika. Napenda upinzani unaoanika Sera sio mivutano kila siku.
5. Cha mwisho na muhimu kuliko vyote jaribu kuepuka hasira na visasi kwenye kampeni na kuhakikisha wagombea wenu ata moja hakatwi. Ukiongozwa na hasira Huwezi kufanya lolote.
Naamini kinachoweza kuwabeba sad NI Sera Safi na namna Bora ya kuzifikisha kwa walaji kwa kuzingatia Hali halisi.
Labda mjiulize kwenye utawala wa makaburu Mandela aliweza vipi kutoacha ajenda yake ya kupigania usawa. Unazani angeongozwa na hasira angehubiri Nini dhidi ya wazungu. Labda angehamasisha wazungu wachinjwe. Lakini hakuongozwa na hasira katu. Ata wazungu waliposikia hotuba zake walimuelewa vizuri. Au mnajifunza Nini kupitia kwa Martin Luther King kiongozi wa waafrika Marekani. Je aliweza vipi kutoa hoja za kudemaand usawa bila kuchochea chuki. Kwa speech alizokuwa akitoa aliwavuta adi wazungu kwa asilimia kubwa. Wazungu waliamini angeweza kuwa ata Raisi wa Marekani. Kwenye mazingira ambayo watu weusi walikuwa wakinyanyasika kabisa. VIP Luther aliweza kuzuia chuki zake na hasira zdhidi ya wazungu.
Unapokuwa unajitahidi kutafuta Lungu linalotumika kukupiga Kwanza usiwe na dhamira ya kutumia Lungu Hilo kuja kufanya kisasi, pili lazma uoneshe wazi kuwa huna Nia ya kuja kukomoa mtu. Lazma Chadema ioneshe viongozi wa CCM hasa maraisi wastafu Yani walioshika Rungu watakuwa salama na kuheshimiwa mno kipindi wao wakiingia madarakani.