gustavoo
Senior Member
- Jan 8, 2017
- 119
- 138
Nanivigumu sana kumrizisha dem alietokea kwenye familia ya umaskini kipesa tena umkute hana ule moyo wakutosheka utampa kila unachoona ni cha muhimu awenacho kama unavyojua hata mwenye pesa anambabe wake atarubuniwa tuuNa wanaotoka nje kisa hawafikishwi ni wachache wengi pesaa ndo zinawatoa