Jitahidi kumfikisha mara kwa mara

Hii mada inajirudia sana humu inaelekea elimu juu ya swala la tendo la kufanya mapenzi ni ndogo sana Ila kwa mtazamo wangu Mimi jamii iliyojaa hali ngumu na msongo wa mawazo ni vigumu kuwa ktk hali ya kufurahia tendo hilo
Yani wewe umemaliza lazima uwe na pesa kwanza ili uenjoy mana ukiwa kapuku msala unawaza kodi kesho utakula nn af upo na bae hata nauli ya kumpa huna utaanzaje kuenjoy,pesa pesa pesa ukiwa nazo kila kitu kitakua safii hata usipomfikisha!
 
ndiyo mkuu hata kama ukinipa simu pesa lazima ihusike so usijali toa shukrani usiwe bahili
Sasa nikiwa natoa shukrani kama hizo.kile kiwanda changu nitakijenga kweli?! bora niwaachie wenye kushukuru watoe tu shukrani zao.
 
nibora dem wangu atoke nje kisa sina pesa hii ni kawaida na imeshawakuta wanaume wengi tuu sitakuwa wa kwanza ila niaibu mwanamke wako atoke nje kisa humfikishi hiyo ni aibu
Na wanaotoka nje kisa hawafikishwi ni wachache wengi pesaa ndo zinawatoa
 
Matajiri nao huchapiwa ushajiuliza kwa nn? Swala la pesa na mahusiano linategemea pia una mwanamke anaetosheka au hatosheki unaweza kuwa na pesa ukajitahidi zile basic need ukampa hatembelei daladala anakavits ikitokea anaetaka kumpa harria kama sio mtu wakutosheka nakujua mwanaume wake anauwezo gani huyo ataenda pesa inafanya tuu mapenzi kuwa matamu pale ambapo mwanamke wako ni maskini kuna wanawake wanatoka masaki wanaenda kugongwa kigogo
 
Back
Top Bottom