Jipu: Tovuti ya Wizara ya Afya haifanyi kazi, IT wa Wizara analipwa kiasi gani?

Ta Muganyizi

R I P
Oct 19, 2010
5,355
2,736
Ni maajabu watu wanahitaji kupata taarifa muhimu za Kiafya kutoka katika Wizara yetu ya afya ikiwepo miongozo na Nyaraka mbalimbali lakini cha ajabu tovuti hivo haifanyi kazi. Ambaye haamini abonyeze hapa : http://www.moh.go.tz/
 
Ili uone JF inavyofanya kazi kitu hii itaprintiwa na IT atapewa taarifa sasa hivi.
 
siyo hapa tu hata Obama alilamikia huduma ya WiFi Whitehouse ni mambo tu ya kibinadamu siyo malaika huyo IT
 
siyo hapa tu hata Obama alilamikia huduma ya WiFi Whitehouse ni mambo tu ya kibinadamu siyo malaika huyo IT

We vipi? Wifi ndo inawezesha websute kufunguka, sasa mie nina full network website mbovu
 
Tatizo lenu meshindwa kutafaitisha baina ya Kipele,Jipu na Busha mnachezewa kini macho aka changa la macho
 
Ni mtumiaji mzuri wa website hii, sijawahi log na kukuta ipo offline. Kulikoni leo?
Ahsante Tutafika kwa ushuhuda wako...website iko offline inafanyiwa routine maintanance na security update....baada ya muda mfupi kuanzia sasa itakuwa hewani....Ahsante!
 
Ahsante Tutafika kwa ushuhuda wako...website iko offline inafanyiwa routine maintanance na security update....baada ya muda mfupi kuanzia sasa itakuwa hewani....Ahsante!
Kwanini hamkutoa taarifa? Inamaana sie tunotembeleaga hiyo website ni wapumbavu Na malofa mnajizimia tu bure kabisa
 
Tutafikatu
Jaribu tena kuifungua www.moh.go.tz
Ahsante

Ahahahahahahaaaaaaa asante JF kiboko.......yaani imebidi ujoin Leo na kurekebisha hiyo Website na sasa inafunguka na inaonekana umejiunga muda mfupi. Ulikuwa umeenda kupig kilaji nini??!! Asante sana kwa kuirekebisha. Hebu tuambie matangazo ya Nursing na Lab Certificate lini maana Division imeleta balaa vya ualimu na Form 5 wasahau kabisa
 
Chezea JFwewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…