Kujifaiji rukhsa!, mtu ukisusia mechi, haupeleki timu uwanjani, hivyo mpinzabi wako anapewa ushindi wa mezani.Tayari limeshafanya mtoki kwa majina ya wagombea kukosewa na wale walio susia kuwekwa kwa lazima ,huu kama si umbutwai na ujinga uliovuka kikomo tuuite kitu gani ?
Hivi Jecha na waliomtuma ambao wanahesabika wanamtisha Mzanzibari ? No ,uchaguzi hautambuliki na hautatambuliwa ,Jeshi liliopelekwa litunze amani kwa wote na sio kuwabana walio wengi ambao ni CUF ,si Unguja si Pemba CUF ni wengi kwa asilimia kubwa 97% hawaitaki CCM ,huo ndio ukweli ,kumbuka kura ya maoni asilimia ngapi walihitaji serikali ya umoja wa kitaifa ?
Kama Sheni anategemea Jeshi nina wasiwasi jeshi hilo hilo litamgeuka yeye na wenziwe na kusimika mshindi wa kweli wa uchaguzi uliopita tarehe 25 /10/2015 na wale akina Jecha na waliomlazimisha kuwekwa chini ya ulinzi wakisubiri kujibu hoja.
Kazi kwao tip of the ice berg. Naona bora Sheni ajiweke pembeni ila kushikilia ni kutafuta jambo la idhara na aibu ,kitu ambacho kwa mimi naona hastahili.
Nendeni mukajichague wenyewe watu awana mpango Na uchaguzi batili ambao ata kwenye katiba hakuna vifungu vyakeKujifaiji rukhsa!, mtu ukisusia mechi, haupeleki timu uwanjani, hivyo mpinzabi wako anapewa ushindi wa mezani.
Kushiriki uchaguzi ni hiyari ila ili ushiriki lazima ufuate sheria, taratibu na kanuni, na kujitoa pia ni hiyari, ila kujitoa nako lazima ufuate sheria taratibu na kanuni!. CUF waliingia uchaguzi na hawakujitoa mpaka kesho, hivyo wagombea wao ni wagombea halali na wanashiriki uchaguzi kikamilifu!.
Tena salama ya Maalim na CUF ni utulivu tuu, vinginevyo....
Ulinzi na usalama wa JMT uko chini ya Amiri Jeshi Mkuu, ambaye ni mmoja tuu!.
Wananchi wa visiwa vyetu vya Zanzibar na Pemba, jitokezeni tuu kwa wingi kwenda kupiga kura, uchaguzi utakuwa huu na wa haki, msisikilize vitisho, visiwa vyetu viko salama u salmini chini ya ulinzi wa JWTZ!.
Pasco
Kuna vitu watu hamvijui, Zanzibar sio nchi, nchi ni JMT na Zanzibar ni sehemu tuu ya JMT, hivyo uko ight uchaguzi haufutwi nchi nzima ndio maana Tanzania tuko salama. Wapiga kura wote wa Zanzibar ni wachache kulio wapiga kua wa Kinondoni tuu!.Nendeni mukajichague wenyewe watu awana mpango Na uchaguzi batili ambao ata kwenye katiba hakuna vifungu vyake
uchaguzi aufutwi nchi mzima haijawi tokea Na haitokuja kutoa duniani ni zanzabar tu peke yake
Na hii lazima itaingwiza kwenye moja ya historia ya MAAJABU YA DUNIA.
Na wale wawakilishi muliokawapa vyeti vya ushindi vipi mumewanyang`anya ushindi?Kuna vitu watu hamvijui, Zanzibar sio nchi, nchi ni JMT na Zanzibar ni sehemu tuu ya JMT, hivyo uko ight uchaguzi haufutwi nchi nzima ndio maana Tanzania tuko salama. Wapiga kura wote wa Zanzibar ni wachache kulio wapiga kua wa Kinondoni tuu!.
Pasco
Kwa vile wote waliyakubali madudu ya Jecha kwa kutokufanya chochote ilihali vyeti wanavyo mkononi, alipofuta amevifuta na vimefutika!. Taehe 20 jitokezeni kupiga kura!.Na wale wawakilishi muliokawapa vyeti vya ushindi vipi mumewanyang`anya ushindi?
Kama zanzibar sio nchi mbona wana serikali yao kamili yenye raisi na makamu wa raisi na wabunge, alafu ati unasisitiza watu wajitokeze kwenye uchaguzi wa marudio ivi wewe ni mjinga kiasi icho au unajitoa fahamu tu? Matokeo washayapanga wenyewe na mshindi washamjua uchaguzi ni kubabaisha watu tu tena wale walio wajinga kama ivo weyeKuna vitu watu hamvijui, Zanzibar sio nchi, nchi ni JMT na Zanzibar ni sehemu tuu ya JMT, hivyo uko ight uchaguzi haufutwi nchi nzima ndio maana Tanzania tuko salama. Wapiga kura wote wa Zanzibar ni wachache kulio wapiga kua wa Kinondoni tuu!.
Pasco
Zanzibar nini? Nachofahamu ugawaji wa maeneo yanayotambulika ni kuanziaKuna vitu watu hamvijui, Zanzibar sio nchi, nchi ni JMT na Zanzibar ni sehemu tuu ya JMT, hivyo uko ight uchaguzi haufutwi nchi nzima ndio maana Tanzania tuko salama. Wapiga kura wote wa Zanzibar ni wachache kulio wapiga kua wa Kinondoni tuu!.
Pasco
Zanzibar ni nchi ina rais,bendera na katiba yake,bunge ka wakilishi na serikaliKuna vitu watu hamvijui, Zanzibar sio nchi, nchi ni JMT na Zanzibar ni sehemu tuu ya JMT, hivyo uko ight uchaguzi haufutwi nchi nzima ndio maana Tanzania tuko salama. Wapiga kura wote wa Zanzibar ni wachache kulio wapiga kua wa Kinondoni tuu!.
Pasco
Nawaza kwa sauti tu!.......Zanzibar ni nchi ina rais,bendera na katiba yake,bunge ka wakilishi na serikali
machafuko yataletwa na nani?Shein!!!!!!!!! Jecha!!!!!!!! Balozi Seif!!!!!!! Kikwete!!!!!!!!! Mkapa!!!!!! Je ninyi ni bora kuliko Wazanzibar wote hadi mnataka kutuingiza kwenye machafuko?