PrimeTech255
Member
- Jan 16, 2024
- 21
- 11
1.Kama umemanisha mb za kifurushi ni kuwa tunamshauri mteja awe na Internet ya unlimited (zuku fibre, simbanet , Airtel router nk).Duh! Kwa hiyo hiyo kitu inatakiwa muda wote iwe na mb za kutosha! Na ina warranty?
1.Kwanza ni kweli Camera yoyote Ile inaweza kuwa attacked na wezi ama watu wenye Nia mbaya haijalishi ni wired au wireless ama matukio yanahifafhiwa Wapi!.Camera inayotunza data yenyewe hiyo ni show haina msaada wowote. Jamaa wanakuja wanang'oa na kuodoka nayo basi biashara inakuwa imeishia hapo
Maanake ni kwamba nitahitaji account, ambayo mwisho siku nitatakiwa kuilipia hebu tiririka1.Kwanza ni kweli Camera yoyote Ile inaweza kuwa attacked na wezi ama watu wenye Nia mbaya haijalishi ni wired au wireless ama matukio yanahifafhiwa Wapi!.
2.Ni kweli mfumo wa kuhifadhi Kwa njia ya Hard Disk Drive ni salama Kwa sababu camera haipo sehemu moja na taarifa zinapohifadhiwa. Twende Sasa kwenye hizi camera ulizozizungumzia 👇
3. Hizi camera za Ezviz Zina njia mbili za kuhifadhi matukio 1.(Njia ya Memory card) 2.Cloud storage; maana yake taarifa zote zinazorekodiwa hazipatikani kwenye camera(memory card)tu Bali Kuna upande mwingine wa kidigitali unaohifadhi hizo taarifa (video picha na matukio Kwa ujumla).
Hivo hata ikitokea mwizi ameondoka na Cctv camera Bado utaweza kupata matukio yako bila ugumu wowote na Kila kitu utakuwa nacho kupitia kifaa ulichounganisha (simu, laptop, desktop ama TV).na hadi Hilo tukio la mwizi kuishambulia Cctv litaonekana pia💪
View attachment 2951460
Hivo watengenezaji wa hizi camera Hilo waliliona mapema na walijua hiyo changamoto itatokea.
Hope nimeeleweka.🙏
Karibu Kwa maswali zaidi mkuu👇
+255 765 576 003
1.Kwa cloud storage ni kweli kuwa inahitajika subscription fee ili uweze kuendelea kuhifadhiwa matukio yako.Maanake ni kwamba nitahitaji account, ambayo mwisho siku nitatakiwa kuilipia hebu tiririka
Kwa hizo ulizoziona Hapo hapana zinahitaji zipate chanzo Cha umeme ndio ziweze kuanza majukumu ya ulinzi (surveillance)Je hizi camera naweza kuziweka sehemu ambapo hapana umeme?? Kwamfano Mimi stoo yangu haina umeme
Mbona unaenda mbele unarudi tena nyuma? Hoja ilianzia kwenye wezi kuiba na kuondoka na camera, ukasema footage zinaweza served and be stored kwenye cloud, nikauliza tena manake ni kwamba utahitahitaji account na ambayo utailipia ili kuendelea kuhifadhi data zako, na malipo yatategemea ni kiasi gani unatarajia kuhifadhi. Sasa kwa nini usiwaeleze wateja wako watarajiwa ukweli wote.1.Kwa cloud storage ni kweli kuwa inahitajika subscription fee ili uweze kuendelea kuhifadhiwa matukio yako.
2.Hayo matukio ya kwenye memory card (playback ) Bado unaendelea kuyapata kwenye simu pasipo kutumia hiyo huduma ya cloud storage.
Sioni kama Kuna mahali namchanganya mteja Wala naficha kitu mkuuMbona unaenda mbele unarudi tena nyuma? Hoja ilianzia kwenye wezi kuiba na kuondoka na camera, ukasema footage zinaweza served and be stored kwenye cloud, nikauliza tena manake ni kwamba utahitahitaji account na ambayo utailipia ili kuendelea kuhifadhi data zako, na malipo yatategemea ni kiasi gani unatarajia kuhifadhi. Sasa kwa nini usiwaeleze wateja wako watarajiwa ukweli wote.
Huwezi kuinstall CCTV camera alafu ukategemea SD iliyoko kwenye camera hayo ni matumizi mabaya ya pesa
Hujakosea mkuu pisi moja ni Tsh 165,000 ikiwa na memory card yake 32GB (Upekee na utendaji kazi wake ndo umeamua bei)Camera moja ndio 165000?
Kazi ni kipimo Cha utu
245,000 Ina 32 GB memory cardIzo ambazo ni charged je unazo ??
Na ni bei gani??
Hakuna camera ambayo inafanya kazi bila kuhitaji internet?
Zipo mkuu nyingi tuHakuna camera ambayo inafanya kazi bila kuhitaji internet?
Inapendeza sana