Jipange dada usidhani ndoa ni kama kupiga picha huku umejibinua makalio

umenifurahisha kuna broo wangu kaoa mumeru,kaja kwa mama mkwe kakuta tupo mtu 8 pamoja na yeye na mume wake tukawa 10.insu ikaja kupika ugali waa mhogo umechanganywa na mtama wa watu 10 kwenye jiko la gesi.siku ya kwanza katoa kitu kibichi,wanaume tukaingia jikoni wenyewe silu ya pili kamuomba mumewe hela kaenda kununua donner bado kapika kitu kibichi,dah kaanza kelele kwa bro kuwa warudi kwao ikabidi broo aende kununua mchele dunia-basi kila siku chakula kikawa wali
Wakati broo hajaoa nani alikua anawapikia hilo nguna la watu kumi?mnahitaji shemeji au mpishi?
 
Mmmh uanawake ni issue kweli jamani eeh twendeni Zanzibar kule rojo tu na sea food. We nuna ka watu kumi mtama cjui nn wapi na wapi,wanaume mjue kuwasitir wapenzi wenu kwa mama zenu
 
Eti Kama Mtoto Wa Jini Katoka Kufundishwa Kunyonya Damu, Hahahaaa... Mleta Mada Kama Bikira Vile
 
Hii inaitwa hit em where it hurts..!

Yaani pesa nitafute, kukuhudumia nikuhudumie, bado unilishe chakula kibichi.

Come oooooonnn.

Na wengi mnajitetea kuwa eti watasaidiana kupika. WTF, yaani kaishi kwao miaka yotea karibu 26 hajajifunza kupika.
 
Huu upinzani wa jadi mawifi na mamamkwe sijui kama utakuja kuisha duniani hii.Kuhusu uvivu na kutojitambua kina dada wengi mnao na tunayavumilia ila kuna mengine itabidi mtusamehe ni majukumu yenu .
 
Ila kuna mabinti kweli ni problem mtu anakwambia wazi mi sipendi kupika jmn na ndoa ya kifahari atingishe jiji anaitaka,mjirekebishe hasa wale mnaofuga kucha ndeeefu
 
Au mfano mtu amekulia kupikia umeme au gesi afu ukweni unakuta kunii...lazma ikukostii hata km unajua kupika
Mi sijawahi kupika ugali wa watu kumi, siwezi kwenda kulala naumwa mbavu huko ukweni eti nifurahishe watu no please acha wanione kiazi.....
Mie hata kuni napikia ila sio ugali wa watu kumi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom