mludego
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 2,596
- 3,552
Msaada wana jukwaa, nimekua na tatizo la matumizi makubwa ya bando mpaka imekua kero kwangu kujiunga unga mara kwa mara na vifurushi vya internet.
Hata zile apps zinazo tumia data huwa nazi shutdown lkn tatizo lipo pale pale , pia sio mtu wa kuangalia videos mtandaoni kiviile lkn kifurushi kinaisha before the date na mara nyingi huwa nanunua kifurushi cha week Chenye GB 1 kwa mtandao wa Halotel na tigo.
Tafadhali naomba mwenye kufahamu ni kwa namna gani naweza kuweka data limitation ktk simu mfano nataka nitumie MB 400 pekee kwa wakati huo na hizo MB 600 zibaki hivyo hivyo ata kama Niko online nitumiwe alert ya taarifa kuwa nimefikia matumizi ya mb fulani
NB natumia samsung j6+ asante karibuni
cc CHIEF MKWAWA