Jinsi ya kusoma ujumbe wa Whatsapp kisiri bila ya aliyekutumia kujua kama umesoma ujumbe wake

Pole sana umetumia muda mwingi kuandika na kuwaelezea watz ila ulisahau kwamba Watz 85% ni vilaza, ona sasa wanavyokushambulia, jifunze siku nyingine usipoteze muda wako!
Teeeeh teeeeeh na wewe upo kwenye hiyo 85% au? Mwandishi alikuwa anawapa somo la wizi halafu watu wamezingua..
 
Hii njiq itarumiwa sana na wanawake... Maana wao utakuta papuchi hataki kutoa ila hela za jamaa anazipenda hivyo anamzungusha na kumchuna tu jamaa wa watu...jamaa anabembeleza kwa kutuma message lakini message ikifika kwa mdada haifuti bila.kusoma ila anaisoma na hajibu kumbuka hajamblock jamaa kwa sababu anapenda pesa zake.lakini papuchi.kutoa sasa ndio.shida
 
Nadhani ulikuwa upo sahihi mpaka pale uliposema azime whatsapp kwa app manager, at least kwenye Android App zinaweza kusikiliza matukio kwenye simu yako na kujiwasha zanyewe, so kama WhatsApp inasikiliza pale simu itakapopata internet inajiwasha yenyewe kwenye background na kuanza kutuma na kupokea data, pia ukitumiwa msg hii inaingia kwa njia ya push na itaiamsha WhatsApp hata kama umeiua na task manager.

Kama una app ya firewall unaweza kuizuia WhatsApp isipate internet access wakati App zengine unaendelea kuzitumia.

Pia unaweza kuzima read notifications kwenye settings za WhatsApp aliyekutumia atakua haoni hizo tick ila na wewe hautaona tick kwenye msg unazowatumia watu.
Mkuu weka link ya hiyo app ya firewall maana ziko nyng sana play store, utakua umetusaidia sana
 
Muda wote huo shida nini,,si bora uandike kwenye status kuwa siku hiyo uko bizy
 
Upo sahihi na hili hutendeka sana pale umetumiwa ujumbe wakati unahitaji muda ili uwaze nini cha kujibu, lakini aliyekutumia anataka jibu la papo hapo na sio muelewa.

Tatizo huo ushauri wako unahusu shughuli sana.
 
Hii njiq itarumiwa sana na wanawake... Maana wao utakuta papuchi hataki kutoa ila hela za jamaa anazipenda hivyo anamzungusha na kumchuna tu jamaa wa watu...jamaa anabembeleza kwa kutuma message lakini message ikifika kwa mdada haifuti bila.kusoma ila anaisoma na hajibu kumbuka hajamblock jamaa kwa sababu anapenda pesa zake.lakini papuchi.kutoa sasa ndio.shida
mkuu unanisema mimi naliwa tu bila kula.
 
Back
Top Bottom