sio lazima ujailbreak iphone yako ili kuinstall third party apps
fanya hivi download hizo apps unazohitaji kwa computer kisha download software inayoitwa impactor.exe
kisha open hiyo impactor afu drag and drop hizo apps eg.instagram++ kwenye impactor kisha utaletewa viboks viwil vya ku enter apple id yako vijaze kisha acha apps ziwe installes kwenye ios baada ya hapo ingia kwenye iphone yako kwenye settings nenda general kisha shuka chin hadi uone profiles and device management... fanya hivo kwanza kisha niambie niendelee