JINSI YA KUINSTALL THIRD PART APP ON IPHONE

sio lazima ujailbreak iphone yako ili kuinstall third party apps

fanya hivi download hizo apps unazohitaji kwa computer kisha download software inayoitwa impactor.exe

kisha open hiyo impactor afu drag and drop hizo apps eg.instagram++ kwenye impactor kisha utaletewa viboks viwil vya ku enter apple id yako vijaze kisha acha apps ziwe installes kwenye ios baada ya hapo ingia kwenye iphone yako kwenye settings nenda general kisha shuka chin hadi uone profiles and device management... fanya hivo kwanza kisha niambie niendelee

Thanks mkuu Ngoja nijaribu..Nitarejea
 
Back
Top Bottom