Jinsi kampuni za bia zilivyobadili gia angani

Eagle hata wakiuza jero na ule mchupa wake cwez nunua duuuh ila km wametuwekea mazingira ya kupata hata bia4 kwa cku sio mbaya
 
Heri ya mwaka mpya wanywaji wote wa Bia,

Kutokana na hali ya maisha kuwa ngumu hivi sasa na hasa ukizingatia ya kuwa serikali imekuwa ikipandisha kodi kila mwaka kwenye Bia.

Sasa TBL na SBL wameona isiwe shida, wameamua kushindana kuzalisha Bia ndogo zenye ulevi uleule kwa Bei nafuu ya 1500 hadi 1800. Hii imetoa ahueni kwa wanywaji angalau sasa ukiwa na 4500 tu unaweza kupata walau 3 ya kulalia.

Kwangu mimi Bia sio starehe tena ni hitaji la msingi kama ilivyo maji na chakula, hivyo, kuniuzia elfu 2500 hadi 3000 ni kuniumiza tu. Tafadhali TRA msipandishe Bia.
Mfano kuna
Kilimanjaro ndogo
Safari ndogo
Serengeti ndogo
Balimi ndogo
Na zingine zingi zitakuja kwa lengo la kuinua walau mauzo ya kampuni hizi.

Karibuni tufurahie ubunifu.
Hizo bia ndogo ukipiga hesabu vizuri in terms of volume mnywaji unatumia hela nyingi kuliko ungenunua kubwa yake. Mfano kuna bar wanauza safari ndogo tzs 2000 ujazo wake 375m na safari kubwa tzs 2500 ujazo 500ml.

Safari kubwa chupa 4 =lita 2= 10,000
Safari ndogo chupa 5=lita 1.875=10,000

Mnywaji wa safari ndogo atajisifu kapata chupa tano kwa 10,000 wakati kiuhalisia kanywa bia kidogo kuliko mnywaji wa safari kubwa kwa hio hio 10,000.
 
Unataka wampende mkeo mkuu!? Acha wapende pombe tu.
C06eZSoW8AAeBja.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom