East African
JF-Expert Member
- Nov 27, 2013
- 704
- 990
Uko sahihi mkuu, kuhusu ladha wanazingua siku hizi. Wametujali kwenye bei na ladha pia watujali.Kinachonisikitisha kuhusu hizi bia hazina ladha kabisa. Ni kama maji tu. Walau Serengeti nimeona kama bado ina ladha halisi ya bia japo nao wanachakachua tu kiaina.
Nachowaomba hawa SBL na TBL zingatieni ubora wa bidhaa zenu. Msitulazimishe tunywe imported beer.
Happy New Year 2017.
Ndio mkuu.Kuna watu bado mnapenda pombe?
Unataka wampende mkeo mkuu!? Acha wapende pombe tu.Kuna watu bado mnapenda pombe?
Sasa kama hunywi Bia unafanya nini ule muda wa Mapumziko? au unapiga umbeaNina miaka 13, sijatia kilevi kinywani mwangu. Na sitarajii!
Tupo pamoja mkuu hivi huyo mdau kashawahi kunywa bia high spirit akaona bei yake? na daily zinaishaBia hata wauze buku tano au kumi takunywa tuuu
Mkuu hyo kitu yataka moyoBinafsi sioni aibu kuagiza Pilsner (Tsh 1500 tu ml500 na alcohol ya 5.0%vv) hata kama niko hotel kubwa.. Jiungeni nami tuokoe pesa nyingi zitakazo tusaidia kwenye mambo mengine,,
Kaonje Safari ndogo (Kirikuu au Mwendokasi) ndo utajua kuwa zinalevya au lahKinachonisikitisha kuhusu hizi bia hazina ladha kabisa. Ni kama maji tu. Walau Serengeti nimeona kama bado ina ladha halisi ya bia japo nao wanachakachua tu kiaina.
Nachowaomba hawa SBL na TBL zingatieni ubora wa bidhaa zenu. Msitulazimishe tunywe imported beer.
Happy New Year 2017.
Mkuu kwani unaenda bar kunywa bia au kuonekana kuwa unakunywa bia,,?Mkuu hyo kitu yataka moyo
Nilishajaribu siku moja lakini nilibandua sticker zake iwe kama castle lager
Pilsner bia ngumu ukinywa nyingi kesho yake unakunya mavi meusi au kuhalisha.Binafsi sioni aibu kuagiza Pilsner (Tsh 1500 tu ml500 na alcohol ya 5.0%vv) hata kama niko hotel kubwa.. Jiungeni nami tuokoe pesa nyingi zitakazo tusaidia kwenye mambo mengine,,
Taratibu zimeanza kuwa maarufuMkuu hyo kitu yataka moyo
Nilishajaribu siku moja lakini nilibandua sticker zake iwe kama castle lager