Hope mko poa wadau,
Juzijuzi nilikuwa Dar basi nikafanikiwa kupiga picha mbili nzuri sana pale darajani,moja nilikaa juu kabisa ya zile nguzo zenye kamba(yaani juu mwisho halafu maji yanaonekana kwa chini) na nyingine ilikuwa wakati wa ufunguzi nilijitahidi sana mpaka mkuu wa kaya na yeye alitokea(yaani kwenye picha inaonekana kama nabadilishana mawazo na Magufuli).
Basi hizi picha mbili zinanipunguzia sana mzigo wa kuwapata hawa watoto wanaopenda watu ambao tuko well established na hivyo dyudyu kupata mkate wake wa kila siku kwa urahisi.
Mfano ni juzi nilkuwa na mtoto fulani wa chuo kimoja Dodoma nikamuonesha hizo picha kisha nikamwambia mimi ni kiungo muhimu sana kati ya Kigamboni na upande wa pili wa jiji,yaani bila mimi hamna mawasiliano kati ya hizi pande mbili,basi tokea siku hiyo ananitumia txt mia mia kila siku.
Na kuna kengine katoto ka form2,yaani nilipomuonesha tu hizo picha na maelezo kidogo basi kila siku anakuja home usiku eti nikafundishe tuition,
Jamani hawa watoto wa huku hata hawaitaji vitu vikubwa sana,ni ubunifu tu wa hapa na pale,bongo tambarare(in lebaharia voice)