Jifunze maneno mawili matatu ya kichaga

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,784
20,155
Nantwambe-umeamkaje /kwa wanaume
Nantwama-umeamkaje/wanawake
Nesindiswa mbe-umeshindaje /baba
Nesindiswa ma-umeshindaje/ kwa mwanamke
mwana-mtoto
Msoro/Msero- Son
Sambura-Daughter
Mfu- mabinti tayar ameolewa, wingi ni wefu
Mmi-Mume
Mka-mke
Ndami-baba yake mumeo
Mammiy- mama yake mume
Mkyeku/mcheku/ msheku - bibi
Mmiku/ meku- babu
Boo/ kyeni/kyan-nyumbani
Mkunde- mpendwa
Itondo-mjinga
isembo-mpumbavu
Mukha/ mringa- maji
Memba/maemba-mahindi
Soko/ maraki-maharage
Mshele-mchele
Mburu-mbuzi
Nguku-kuku
Ngumbe-ngombe
Yanri-Kondoo
Kite-mbwa
Mbaka-Paka
Ifururu-Bundi
Ingala-kaa
kinyany-Mamba
Iketi-Mtu ambaye ni single hajaoa
Shonga-Chakula
Kyandu-kisu
Upanga/ubanga-Panga
Ikumbi-jembe
Nungu-chungu
Muruwa/malela-maziwa
Mnswa-uji
Iseka-mwanaume ambaye hajatairiwa
Mwi-Jua
Mbwaa-Mvua
Iruwa-Mungu
Mbishwa-Shetani
Kifuu-kaburi
vifuu-makaburi
Safari-kyaro
Inyinyi-Mwizi
Mang'aa-malaya
ikokoi-Panya
Isosoro-Mjusi
Ilemba-kudanganya
Udede-Ukweli
Karibuni sana kwa atakayehitaji maana ya neno fulani nitamwambia kwa kichaga inaitwaje
 
Hili wimbi la Ukabila linatawala sana sasa hapa JF,..!
Ukabila ni Identity ya Tanzania!
Kama ukabila hauna tija uachane tu utapotea mbeleni huko miaka mingi ijayo ila kama wayahudi wamebaki wayahudi na ikawa wale pale Israel ni kweli ni wayahudi basi tusipingane na uwepo wa identity hizi tusije tukawa tunapingana na Muumba!

Kama wewe sio mchaga, oa mchagga afu watoto wakikua waambie marafiki zako wawaulize wanao nyie kabila gani!
Nina uhakika watakuwa na jibu! Hawatakaa kimya, watataja tu identity yao!!
 
Kichaga kimegawanyika ktk makundi karibu kumi au zaidi so kwa hapo nadhani ameelekeza lengo lake kwa Kabila moja tuu ambayo ni Kimachame so hapo hakuna kirombo,kimarangu,kikibosho, wala Kabila zingine zingine za kichaga
 
Ukisema hii ni lugha ya kichaga, lazima, narudia, lazima useme ni lahaja ipi ya kichaga unaizungumzia.Zipo lahaja kadhaa za kichaga.Mimi nilifundishwa lahaja ya kirombo na mdau wa hapa SHIEKA. Kwenye introduction ya somo alinieleza kwamba kuna kimarangu, kiuru, kikibosho, kimachame, kisiha nk.Kichaga si lugha moja inayozungumzwa kote kilimanjaro.
 
IRUVA- mungu
NNDUMI yESU- bwana yesu
 

alichokiandika kinatumika machame na masama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…