Moral of the story; kiumbe chochote kikipata malazi na chakula bora hunawiri. Hata magonjwa nyemelezi hutoyasikia.
Ukiwa na pesa utanawiri tuu hata kama hutonenepa. Ukiwa na dhiki na shida na uko mtaani unazurura zurura na kubangaiza utachakaa na kuzeeka kabla ya umri wa kuzeeka.
Hii inatokeaga hata kwa binadamu.