Jeshi Letu La Wananchi kamandi ya Anga

Jamani tukuze uchumi wetu sababu nguvu za uchumi zinaendana moja kwa moja na nguvu za kijeshi kwani tukiwa na mapesa kibao twaweza kununua ndege mpya na za kisasa kabisa kama nchi nyingine zinavofanya na hivyo kua katika upande salama wakati wa vita.
Kwanini tusibadirishe mfumo wetu wa elimu ili tuweze kutengeneza ndege zetu wenyewe kwa rasilimali zetu wenyewe?
 
Back
Top Bottom