atabadilika, kwani aliyemteua ulimjua kuwa anaweza kuwa na utawala wa ki-imla?Nimei copy kama ilivyo kutoka mtamboni......
Baada ya kufanya mahojiano na askari polisi maeneo mbalimbali ya nchi hii kwa njia ya simu kwa wale wa mbali na wale wa karibu kuongea nao ana kwa ana hasa baada ya utenguaji na uteuzi wa mkuu mpya wa polisi IGP , askari wengi ambao niwazoefu na wamefanya kazi na viongozi hawa wote wana kiri kwamba utenguzi huo umewashtua na wengi umewaumiza sana
Wanadai kwamba mangu alikuwa mtetezi wao mkubwa sana na amewatetea askari wake walio chini yake kwa nguvu kubwa sana ikiwa ni pamoja na kuihimiza serikali kuwaboreshea maslahi yao na mahitaji yao mbalimbali, ingawa kuna baadhi serikali ilikuwa ikilega lega kutatimiza lakin MANGU alijitahidi sana kufuatilia.
Lakin pia wamedai MANGU ni mtu mwenye misimamo dhabiti na anae jua vema kusimamia maadili na miongozo ya kazi yake kikamilifu, asiye yumbishwa , asiye ingiza siasa katika kazi au yupo radhi akae kimya na asiwe muongeaji kabisa pale anapo ona kuna mbinu zinazo kiuka madili ya kazi yake na kama mbinu hizo zipo juu ya uwezo wake kimaamuzi
" unajua kaka huyu jamaa kwakweli sisi kama askari tulikuwa tuna mpenda sana maana ni kiongozi aliye kuwa akitujali sana na ametupigania sana serikalini ili tupate baadhi ya stahiki zetu kwakweli jamaa ametufaa sana ila ni basi tu kaka maana huyu mwingine kisha ingizwa kwenye siasa yaani daah sijui lakin ila nimeumia sana lakin sisi hatuna tatizo kaka sisi ni punda tu yeyote anaye kabidhiwa mjeredi kutuongoza sie tutavuta mzigo tu hahaaaa" alisikika afande mmoja akitoa yake ya moyoni huku akimalizia na kicheko
Lakin pia walio wengi wamemuongelea SIRRO kuwa hana shida katika utekelezaji wa majukumu yake lakini huwa si mtu anae weza kusimamia misimamo ya kazi yake na kwa sasa amepoteza ule u SIRRO alio kuwa nao hapo zaman , wamemuingiza kwenye siasa kinguvu,, ila naye si mbaya ingawa hatujui akipewa madaraka makubwa hayo atakuwaje lakin kwa hali ilivyo sasa na utawala huu wa sasa askari wengi wame hofia kufanya kazi kisiasa zaid kuliko kuzingatia kanuni ,taratibu, miiko na weledi wa kazi yako
Acheni unafiki watanzania...... una uhakika polisi hawajafurahia yeye kutolewaNimei copy kama ilivyo kutoka mtamboni......

Kuwaomba radhi waandishi wa hanari ndio kulikomfukuzisha!Nikupe mfano,TMAA kwa mujibu wa Rais imeshindwa kufanya kazi,pamoja na yenyewe kufutwa lakini waziri husika ametenguliwa nafasi yake kwa kushindwa kuisimamia TMAA!Hao polisi wanaomlilia Mangu, wamezungumzia na kufel kwake kwenye mauaji ya polisi wenzao na mauaji ya kila siku uko mkuranga? au ni kwa sababu ya 'maslahi yao'
Kuwaomba radhi waandishi wa hanari ndio kulikomfukuzisha!Nikupe mfano,TMAA kwa mujibu wa Rais imeshindwa kufanya kazi,pamoja na yenyewe kufutwa lakini waziri husika ametenguliwa nafasi yake kwa kushindwa kuisimamia TMAA!
Sasa jiulize,kama issue ni mauaji ya polisi,inakuwaje waziri mwenye dhamana kabaki salama????
Wenye akili wanajua
sisi hatuna tatizo kaka sisi ni punda tu yeyote anaye kabidhiwa mjeredi kutuongoza sie tutavuta mzigo
By the way, hiyo mikoa ambako mauaji ya askari na Raia yamefanyika, RPCs wake wametenguliwa pia? (kama mauaji ndiyo sababu ya utenguzi)Kuwaomba radhi waandishi wa hanari ndio kulikomfukuzisha!Nikupe mfano,TMAA kwa mujibu wa Rais imeshindwa kufanya kazi,pamoja na yenyewe kufutwa lakini waziri husika ametenguliwa nafasi yake kwa kushindwa kuisimamia TMAA!
Sasa jiulize,kama issue ni mauaji ya polisi,inakuwaje waziri mwenye dhamana kabaki salama????
Wenye akili wanajua
Ndio hapo tunashangaaBy the way, hiyo mikoa ambako mauaji ya askari na Raia yamefanyika, RPCs wake wametenguliwa pia? (kama mauaji ndiyo sababu ya utenguzi)
Mie mwenyewe nimejiuliza hiliBy the way, hiyo mikoa ambako mauaji ya askari na Raia yamefanyika, RPCs wake wametenguliwa pia? (kama mauaji ndiyo sababu ya utenguzi)