Habari wana JF,
Miaka kama miwili iliyopita jeshi la polisi lilimshikilia msanii wa Bongo fleva diamond kwa kosa la kuvaa gwanda la jeshi na kuperform kwenye jukwaa.
Katika kuonyesha kwamba jeshi letu halina double standard tunawaomba wamkamate Abubakar Asenga mara moja kwa kosa la kuvaa vazi ambalo haruhusiwi kisheria .