mliverpool
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 1,558
- 2,937
Jamaa anakiuka taratibu zote za manunuzi ya umma,he is dictating everything,and the person that dictates almost everything is a dictator..period
Magufuli is right. Very right. Let's be professional, not emotional. Hostel za UDSM na hospitali hiyo kipi expensive? How come hospital ya mkoa icost 46bn na hostel zicost 10bn. Ni sawa na kununua TV kwa 2M Mlimani City Mall na mwingine akapata TV ile ile na ubora ule ule Kariakoo. The very same concept. Kinachotusumbua waTZ tulio wengi ni WIZI na ubinafsi.
Kuna watu wako standby kukosoa chochote asemacho RaisI was there personally when he was talking about that hospital. Mtoa mada ulichokizungumza kina utofauti mkubwa sana na kilichokua pale ground zero. Ushauri wangu ni kwamba usubiri masaa machache utakuwa ushapata video ya hilo tukio and im sure if you are an honest person you will come to thank me
Wapinzani mmevurugwa sana aiseeeee? Kasi ya maendeleo chini ya Rais Magufuli imewachanganya sana
Kama kuna mwana UKAWA ataingia tena kwenye huu uzi basi bila shaka atakimbilia kuporomosha matusiMagufuli is right. Very right. Let's be professional, not emotional. Hostel za UDSM na hospitali hiyo kipi expensive? How come hospital ya mkoa icost 46bn na hostel zicost 10bn. Ni sawa na kununua TV kwa 2M Mlimani City Mall na mwingine akapata TV ile ile na ubora ule ule Kariakoo. The very same concept. Kinachotusumbua waTZ tulio wengi ni WIZI na ubinafsi.
Ndio kazi yao hiyo. Madaraka yanatafutwa kwa nguvuKuna watu wako standby kukosoa chochote asemacho Rais
Hiyo ni sehemu ya operesheni kata funuaKuna watu wako standby kukosoa chochote asemacho Rais
hilo akakae yeye na mke wake na watoto wake. ubaya zaidi, wataenda kukaa watu wengine yeye yuko pembeni anaangalia kama linadondoka au la...mainjinia bwana..hahahaIkiwa Architect, QS consultant,Contractor wqmekubaliana jengo linajengwa na kukamilika kwa billion 40,anakuja mkemia anasema hilo jengo kwa mchoro uleule mjenge kwa billion 10 na likamilike,natanguliza pole zangu kwa wananchi wanaoekwenda kutumia hilo jengo maana kitakachotokea hapo ni bora jengo na si jengo bora,,
Bilioni 40?,hilo jengo ghorofa ngapi?