Uelewa wa wengi wanaokujibu ni mdogo kama inavyodhihirika. Lkn naamini wenye ewezo wa kuchambua na kuelewa wapo na wamekuelewa. Binafsi nimekuelewa, na ongera kwa uchambuzi makini uliojaa references za kutosheleza. Kazi kwa mlajiNa Statement ya MCC Board baada ya sakata la Escrow iko hapa:
MCC Statement on Board of Directors' Discussion of Tanzania at the December 2014 Meeting